Nchi ni moja hakuna ubaguzi wa kanda sasa migao ni ya nini
Sijui vyama vya siasa kugawa mali pande zote!! kwani unguja na Mwanza tofauti yake ni nini?? mbona mikoa mengine haina mali za vyama kama mengine!!!.
Hii kulazimisha kisheria kugawa mali za wati zaidi ya milioni 60 kwa watu milioni 2 ni sawa na ukoloni tu hasa ukizingatia ni miaka mingi na Tanzania ni nchi moja.
Vilevile wagombea wenza imepitwa na wakati wagombea waruhusiwe kuchagua yeyote kutoka popote. Hii pia ni ubaguzi maana ni zaidi ya miaka 50 sasa hakuna cha Uzanzibari na Ubara tuondoe haya mapungufu