Je Kwa mara ya kwanza Zanzibar itakuwa na tarehe tofauti ya uchaguzi na Tanzania bara?

Je Kwa mara ya kwanza Zanzibar itakuwa na tarehe tofauti ya uchaguzi na Tanzania bara?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Siku zote bunge likivunjwa taratibu za uchaguzi zinaanza. Toka January mabunge yote mawili yalitoa ratiba zao. Bunge la wawakilishi lilitangaza kuwa litavunjwa tarehe 23 June, uku Tanzania bara likivunjwa tarehe 27june ili kupisha uchaguzi.

Cha kushangaza na kisikitisha Bunge la wawakilishi Jana halijavunjwa, limehailishwa Hadi August 13. Hii inamaana Zanzibar uchaguzi umesogeswa mbele.

Uku bara bunge linavunjwa ijumaa, kupisha uchaguzi.

So Kwa mala ya kwanza kutakuwa na tarehe tofauti ya uchaguzi kati ya Zanzibar na Tanzania Bara. Na how come bunge la Tanzania livunjwe uku la Zanzibar likiongezewa muda.

Na katiba haijakiukwa?
 
Back
Top Bottom