Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Njombe, Rebecca Msemwa, amehoji Serikali kuhusu changamoto wanazokumbana nazo wakulima wa maparachichi katika mkoa huo.
Anaeleza kuwa kuwa licha ya Njombe kuwa maarufu kwa uzalishaji wa maparachichi bora, mkoa huo hauna vyumba vya ubaridi (cold rooms) kwa...