Imepita takribani zaidi ya miaka 60 tangu uhuru, lakini maisha ya Mwafrika hayana tofauti na ya mbwa Koko, ambaye hajui ale nini au avae nini.
Ukitumia akili ya ndani, utagundua kuwa kabla ya uhuru, Waafrika walikuwa na maisha bora, ikiwemo uhakika wa lishe, ajira tele mashambani na viwandani...