Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wataalamu wa kilimo huo mwinuko ni rafiki wa mazao gani?
Mwinuko huo mnau weka katika kundi lipi low land au highland.
Lengo langu ni mazao yafuatayo
1. Mahindi
2. Viazi aina yote
3. Matunda kama avokado,miembe, furisi, matunda damu, papai, limao chungwa. Tope...