Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha.
Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani.
Taiwan imekuwa ikisaidiwa sana kwenye mambo ya Ulinzi na Marekani, Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki...
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump.
Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with recent U.S. policy towards Ukraine...
Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana.
Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni Marekani ndie anaachangia zaidi kuliko nchi zote za NATO, bila Marekani NATO inayumba
Marekani inatoa...
Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco.
Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance...
Ni kawaida kupaniki pale unakuwa denied. Lakini Europe is never safe. Hakuna binadamu wanafiki kama wazungu, sio wote lkn niseme serikali zao wote ni wanafiki.
Tuliowahi kuishi na hawa viumbe weupe ni mashahidi. Ule msemo wa HAKUNA URAFIKI WA KUDUMU BAKI INTEREST wanao wana.
zelensky...
Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi.
Pamoja na ujinga aliokuwa nao Zelensky lakini kwa kumlinganisha na Benjamin Netanyahu basi yeye ni mtu mwema kidogo...
Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani?
Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua jinsi Marekani ingetekeleza uvamizi wake kwa Afrika, hasa kwa kuzingatia Tanzania na Afrika...
Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
Ni wazi kabisa Zelensky hakuwa sawa kabisa kichwani, unaweza kusema kuwa ni kama vile alikuwa ametumia bangi maana alikosa kabisa ustaarabu wa kuzungumza na Rais wa nchi ndani ya WHITE HOUSE na hivyo aliamuriwa kuondoka na aliambiwa anaweza kuja siku nyingine atakapo kuwa sawa.
Bangi sio kitu...
Kitu hiki kinanishangaza sana na kuona kua kumbe Kuna baadhi ya Viongozi wazungu ni wajinga sana.
Zelensky wa Ukraine ameng'ang'ania kutaka kujiunga na umoja wa kujihami kijeshi wa nchi za Magharibi ambao hauna faida yoyote ya kiuchumi na kisiasa zaidi ya ulinzi wa kijeshi.
Nashangaa kwa...
Heshima zenu wakuu. Hongereni kwa kazi. Na mnaopumzika, hongereni kwa mapumziko.
Haya, twende kwenye mada.
Mambo mengi yanayotokea nyakati hizi duniani, yalitabiriwa na manabii wa Mungu miaka mingi iliyopita, na kuandikwa katika Biblia. Yesu Kristo pia alipokuwa duniani, alinena mambo...
Hakika Umaskini ni laana. Zelensky anagombezwa kama mtoto mchanga. Viongozi wa Afrika wakifika kwa mwamba lazima wachapwe bakora.
ISOMEKE: Viongozi wa Afrika mna la kujifunza kwa Zelensky
Baada ya kuitwa dikteta na Trump ,raisi Zelensky wa Ukraine alirudi nyuma kidogo na kuanza kumkubalia baadhi ya mambo aliyokuwa akidai raisi wa Marekani hasa hasa kuhusiana na kuruhusu madini muhimu ya Ukraine yaende Marekani.
Hata hivyo mambo yamechafuka vibaya baada ya Zelensky kufika ikulu...
Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe.
Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako.
Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari...
Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House
Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake
Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu
Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao
Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
Mimi nakaona haka kajamaa ni kakuda sana. Kuna namna kanataka kafanye uboss huku kenyewe ndio kaliko na tabu.
Hakajui bila US hio nchi yake ingekuwa mkoa wa Urusi tayari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.