Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa tena wito wa kufanya mkutano na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake.
Zelensky ambaye alishawahi kuomba kukutana na kiongozi huyo amesema hakuwa na hofu ya kukutana na Putin iwapo hilo lingesababisha makubaliano ya...
Rais Volodymyr Zelensky ameonya kuwa uvamizi wa Urusi dhidi ya Nchi yake ulikuwa mwanzo tu, na kwamba malengo ya Moscow yanavuka Mipaka ya Ukraine
Katika jitihada za kuleta Amani na kumaliza Vita inayoendelea, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres anatarajiwa kukutana na Marais wa...
Rais wa Senegal ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Macky Sall amesema Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelenksy ameomba kuzungumza na Umoja huo. Wito huo unakuja kukiwa na mgawanyiko kuhusu uvamizi wa Urusi.
Nchi nyingi za Afrika zimeonesha kutofungamana na upande wowote katika vita ya...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Viongozi wa Mataifa ya Magharibi kukubaliana haraka juu ya vikwazo vya Mafuta ya Urusi, akisema kushindwa kwao kufanya hivyo kunagharimu maisha ya Raia wa Ukraine
Amesema Moscow imekuwa inapata Fedha nyingi kutokana na mauzo ya mafuta, hivyo...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewaonya watu wake mapema leo Aprili 2, 2022 kuwa wanajeshi wa Urusi wanaoondoka katika maeneo yao wanatengeneza kile amesema ni "mazingira ya maafa" nje ya mji mkuu kwa kutega mabomu ya ardhini katika eneo zima hata karibu na nyumba za watu na maiti.
Ametoa...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi.
Akilihutubia taifa jana usiku baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kusema hataki mabadiliko ya utawala Urusi, Zelensky amekemea kigeugeu cha nchi za Magahribi...
Rais wa Ukraine akiwa sasa amechoshwa na tabia za viongozi wa nchi za NATO ameamua kuwapasha kwa kuwaambia kuwa kimya chao huenda ni kutokana na kuiogopa Urusi. Amesema amesubiri kwa zaidi ya mwezi apatiwe angalau kifaru kimoja lakini hajapokea chochote.Akaongeza kwamba wala hajaomba na hataomba...
Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi.
Sasa Urussi...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba dunia kuandamana kupinga operasheni ya Urusi nchini Ukraine. Operesheni ya Urusi nchini Ukraine imesababisha mapigano na vifo vya watu wengi tangu kuanza kwake Februari 24
Rais Zelensky amesema kuisapoti Ukraine ni kusapoti uhuru na Maisha. Ametaka...
Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano.
Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia Kijijini kwao Chato.
Je ni malezi ndio yanayosababisha Kiongozi mmoja kuwa jasiri na mwingine kuwa...
Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine.
Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine.
Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema Taifa hilo linataka mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Rais Volodymyr Zelensky na Rais wa Urusi, Vladimir Putin kwasababu wanatambua maagizo yote yanatoka kwake
Kuleba amesema Rais Zelensky haogopi Mkutano na Rais Putin, akisisitiza yupo...
Afisa mstaafu wa jeshi la Marekani Colonel Macgregor ambaye pia amewahikuwa mshauri ktk Department ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa Zelensky kupambana na majeshi ya Russia ni 'upuuzi' na kuwa Zelensky si shujaa. Zaidi ya hapo akasema, Russia walikuwa wapole sana ktk ingwe ya kwanza ya uvamizi...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Mataifa ya Magharibi kuimarisha vikwazo dhidi ya Urusi, akikosoa Viongozi kwa kutojibu tangazo la awali la Wizara ya Ulinzi ya Urusi kuhusu kushambulia majengo ya Kijeshi na Viwanda ya Ukraine.
Pia, ametoa wito wa kuwafikisha mahakamani...
There’s something very wrong with the meticulously engineered war in Ukraine!
Ukrainian President Volodymyr Zelensky was quite obviously contracted by his Zionist masters to provoke this war with Russia.
Not only is there no question about this stark reality, all of the emerging evidence on the...
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.
Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
Kutoka WhatsApp Group nimepata hili.
=====
Kadri ya Rais Lovodymyry Zelensky wa Ukraine na Uteuzi wa Comedian Michopanga (Juma Chikako kuwa DC Rorya
Wakati vijana wengi wakikosoa bila hoja, kwa misukumo ya ukada wa vyama na agenda binafsi za kuonesha Rais Mhe SSH siyo makini..
Wote wanaohoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.