zelensky

Zelensky is a Slavic masculine surname.
Its Polish version is Żeleński (masculine) or Żeleńska (feminine).
Its Russian version (Russian: Зеленский) is romanized Zelenski, Zelenskii, Zelenskiy, or Zelensky, and originates from the toponym Zelyonoe, meaning “green”; its feminine counterpart is Zelenskaya or Zelenskaia.
Its Ukrainian version (Ukrainian: Зеленський) is romanized Zelenskyi, Zelensky, or Zelenskyy. The feminine (Ukrainian: Зеленська) is Zelenska.
the Lithuanized version is Zelenskis.
Notable people with the surname include:

Aleksei Zelensky (born 1971), Russian luger
Elena Zelenskaya (born 1961), Russian opera soprano
Igor Zelensky, Russian ballet dancer
Isaak Zelensky (1890–1938), Russian politician
Varvara Zelenskaya (born 1972), Russian alpine ski racer
Volodymyr Zelensky (born 1978), Ukrainian politician and incumbent President of Ukraine, formerly a screenwriter, actor and studio director
Władysław Żeleński (disambiguation), multiple people
Żeleński noble family
Count Tadeusz Josef Żeleński
Countess Ewa Theresa Żeleńska Korab-Karpinska
Countess Sarah Elżbieta Philimina Korab-Karpinska Żeleńska Eagan

View More On Wikipedia.org
  1. Ugomvi wa Trump na Zelensky pamoja na mataifa ya Ulaya ni kusema vita vimewashinda baada ya kutaraji kupata sifa za ushindi

    Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha. Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
  2. R

    Huku Zelensky akiendelea kukataa vyake visiguswe, Taiwan inayosaidiwa kiulinzi na Marekani imetangaza kuwekeza Trilioni 260

    kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani. Taiwan imekuwa ikisaidiwa sana kwenye mambo ya Ulinzi na Marekani, Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki...
  3. D

    Hivi nani comedian au mchekeshaji kati ya Trump and Zelensky

    Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump. Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
  4. Pre GE2025 Wenje: Tunahitaji kuwa kama Zelensky, tutapinga udikteta uchwara ndani ya CHADEMA

    Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa.
  5. Baada ya mzozo wa jana kati ya Trump na Zelensky: Nchi z Ulaya zimeaanza kujielewa

    Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with recent U.S. policy towards Ukraine...
  6. R

    Kwa ubahili wa nchi za Ulaya, Zelensky atarudi kwa aibu White House kupiga magoti na kuomba msamaha

    Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana. Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni Marekani ndie anaachangia zaidi kuliko nchi zote za NATO, bila Marekani NATO inayumba Marekani inatoa...
  7. Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

    Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco. Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance...
  8. Huyu Zelensky wenu mnayemsifia kwa kupangusana na Trump, muonyeni Ulaya sio pa kukimbilia

    Ni kawaida kupaniki pale unakuwa denied. Lakini Europe is never safe. Hakuna binadamu wanafiki kama wazungu, sio wote lkn niseme serikali zao wote ni wanafiki. Tuliowahi kuishi na hawa viumbe weupe ni mashahidi. Ule msemo wa HAKUNA URAFIKI WA KUDUMU BAKI INTEREST wanao wana. zelensky...
  9. Netanyahu alistahili kupigwa kofi kabisa na Trump kuliko alivyofokewa Zelensky

    Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi. Pamoja na ujinga aliokuwa nao Zelensky lakini kwa kumlinganisha na Benjamin Netanyahu basi yeye ni mtu mwema kidogo...
  10. Fedheha aliyopitia Zelensky Whitehouse imenifanya niwaze: Ingekuwaje Ghaddafi angeunganisha bara la Afrika Kisha Marekani ikatangaza vita na bara zima

    Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani? Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua jinsi Marekani ingetekeleza uvamizi wake kwa Afrika, hasa kwa kuzingatia Tanzania na Afrika...
  11. Kwa hawa viongozi wetu wa Afrika, nani kama Zelensky alivyowekwa mtu kati Pale white house

    Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
  12. Z

    Zelensky told to leave White House after angry spalt with Trumph.

    Ni wazi kabisa Zelensky hakuwa sawa kabisa kichwani, unaweza kusema kuwa ni kama vile alikuwa ametumia bangi maana alikosa kabisa ustaarabu wa kuzungumza na Rais wa nchi ndani ya WHITE HOUSE na hivyo aliamuriwa kuondoka na aliambiwa anaweza kuja siku nyingine atakapo kuwa sawa. Bangi sio kitu...
  13. L

    Zelensky kwanini NATO na sio EU?

    Kitu hiki kinanishangaza sana na kuona kua kumbe Kuna baadhi ya Viongozi wazungu ni wajinga sana. Zelensky wa Ukraine ameng'ang'ania kutaka kujiunga na umoja wa kujihami kijeshi wa nchi za Magharibi ambao hauna faida yoyote ya kiuchumi na kisiasa zaidi ya ulinzi wa kijeshi. Nashangaa kwa...
  14. Aliyoyatamka Rais Trump mbele ya Rais Zelensky yametimiza Unabii

    Heshima zenu wakuu. Hongereni kwa kazi. Na mnaopumzika, hongereni kwa mapumziko. Haya, twende kwenye mada. Mambo mengi yanayotokea nyakati hizi duniani, yalitabiriwa na manabii wa Mungu miaka mingi iliyopita, na kuandikwa katika Biblia. Yesu Kristo pia alipokuwa duniani, alinena mambo...
  15. C

    Viongozi wa Afrika mna la kujifunza kwa ydha Zelensky kapigwa za uso (video)

    Hakika Umaskini ni laana. Zelensky anagombezwa kama mtoto mchanga. Viongozi wa Afrika wakifika kwa mwamba lazima wachapwe bakora. ISOMEKE: Viongozi wa Afrika mna la kujifunza kwa Zelensky
  16. Raisi Trump na Raisi Zelensky wagombana hadharani ndani ya ikulu.Kisa Marekani inataka pesa zake.

    Baada ya kuitwa dikteta na Trump ,raisi Zelensky wa Ukraine alirudi nyuma kidogo na kuanza kumkubalia baadhi ya mambo aliyokuwa akidai raisi wa Marekani hasa hasa kuhusiana na kuruhusu madini muhimu ya Ukraine yaende Marekani. Hata hivyo mambo yamechafuka vibaya baada ya Zelensky kufika ikulu...
  17. Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

    Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe. Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako. Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari...
  18. Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
  19. Angalia Zelensky Alivyonywea

    Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
  20. Trump anasema Zelensky hayuko tayari kwa ajili ya Amani

    Mimi nakaona haka kajamaa ni kakuda sana. Kuna namna kanataka kafanye uboss huku kenyewe ndio kaliko na tabu. Hakajui bila US hio nchi yake ingekuwa mkoa wa Urusi tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…