Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera atafanya ziara wilayani Mbarali kesho Jumatano Juni 07, 2023 ambapo atakagua mradi wa umwagiliaji wa Uturo Isenyela wenye thamani ya Bilioni 13.9, kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Mapogolo, kufanya kikao cha Baraza la Madiwani kujadili taarifa ya...
KOMREDI KAWAIDA APOKELEWA MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Mohammed Kawaida amewasili mkoani Kagera kuhitimisha Ziara maalumu ya vinaja wanaonufaika na mradi wa Jenga kesho Bora BBT unaosimamiwa na wizara ya kilimo.
Lengo la ziara...
MHE. NANCY NYALUSI AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO - IRINGA
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya Kilolo mkoani Iringa katika kijiji cha Ng'uruwe ambapo amachangia Shilingi Milioni 1 kwenye...
Wana Dar es Salaam tuna changamoto nyingi sana. Lakini ya barabara imekithiri sana. Tunaomba ziara Dar es Salaam tukueleze shida zetu. Dar es Salaam ina barabara zinachongwa kwa mwaka zaidi ya mara tatu kwa gharama kubwa, lakini barabara ikishachongwa inakaa kwa siku tatu hadi tano tu baada ya...
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa...
Tutofautishe kati ya work visit na State visit!!
State visit (safari ya kitaifa) lazima ukaribishwe na mkuu wa nchi!! Unapewa heshima zaidi na mapokezi yake yanafanywa na mkuu wa nchi, inaweza kuambatana na kupigiwa mizinga 21 na mwisho wa siku hupewa zawadi kama ukumbusho wa ziara hiyo ya...
Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani.
Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 28/01/2022 Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji. Katika ziara hiyo Rais Samia amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Lengo la Ziara hiyo ni kujitambulisha kwa viongozi wenzake wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.