ziara za chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natamani ratiba za CHADEMA zigongane na za Waziri Mkuu ndani ya wilaya moja na siku moja tuone itakuwaje

    Hiyo siku kuwe na usawa na haki toka kwa Polisi kusiwe na vitisho na kila mwananchi achague mwenyewe aende wapi, wakubebwa na magar wabebwe, wakwenda wenyewe waende then tupate picha ya siasa zetu je bila polisi kutoa vitisho na mashinikizo wataenda wapi!
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwanini ziara za CHADEMA maeneo mbalimbali nchini ni kama vile hazikufanyika tu

    Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe. Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri. Kwakweli hata mapokezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…