Ni kwanini ziara za CHADEMA maeneo mbalimbali nchini ni kama vile hazikufanyika tu

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe.

Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri.

Kwakweli hata mapokezi duni waliyokua wanakutana nayo huko mikoani, yamechangia pakubwa viongozi hao wakuu wa chadema taifa wa-tone down kabisa, na wana dalili za kukata tamaa. Ni ishara ya kwamba moto wa G55 ni mkali zaidi yao mikoani.

Unadhani ni kwanini wananchi hawawaelewi kabisa CHADEMA na agenda zake?
Je, ni kwasababu wanalalamika sana au hawahubiri masuala yanayohusu mahitaji yao ya kila siku?

Mungu ibariki Tanzania :NoGodNo:
 
Kama hazina impact kwa Nini watawala wanamkamata? Nanwana mpango wa kumpa tani nyingi za kesi.

Hivi shetani impact yake ni Nini zaidi?
 
Kama umeweza kufatilia na ukagundua yote haya ni wazi hizo ziara za CHADEMA zina IMPACT kubwa ila unachojaribu kufanya ni kama kuwabeza.

Kama hazina impact waacheni msiwatume polisi wawakamate viongozi wao. Wanasema Dont hate the player hate the Game. kutoka ndani ya moyo wangu ninaichukia siasa kuliko kawaida.
 
Gentleman,
ni muhimu kama waTanzania kua wastaarabu katika kufuata taratibu za mikutano ya hadhadra,

wakiuka utaratibu, wenye viburi vya kutokutii sheria bila shuruti ni muhimu wakashughulikiwa kikamilifu bila huruma wala kucheleweshwa hata sekunde moja na ikibidi bila kujali hali zao wanazotumia kama shield wakadhani wataachwa kuchukuliwa hatua :NoGodNo:
 
Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe.

Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri.

Kwakweli hata mapokezi duni waliyokua wanakutana nayo huko mikoani, yamechangia pakubwa viongozi hao wakuu wa chadema taifa wa-tone down kabisa, na wana dalili za kukata tamaa. Ni ishara ya kwamba moto wa G55 ni mkali zaidi yao mikoani.

Unadhani ni kwanini wananchi hawawaelewi kabisa CHADEMA na agenda zake?
Je, ni kwasababu wanalalamika sana au hawahubiri masuala yanayohusu mahitaji yao ya kila siku?

Mungu ibariki Tanzania :NoGodNo:

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg
 
Kama haina impact Lissu asingekamatwa bila sababu!
Amekamatwa kwa sababu CCM haiwezi kuvumilia ajenda ya No Reform No Election.
 
Kama umeweza kufatilia na ukagundua yote haya ni wazi hizo ziara za CHADEMA zina IMPACT kubwa ila unachojaribu kufanya ni kama kuwabeza.

Kama hazina impact waacheni msiwatume polisi wawakamate viongozi wao. Wanasema Dont hate the player hate the Game. kutoka ndani ya moyo wangu ninaichukia siasa kuliko kawaida.
gentleman,
mimi ni mtafiti mwanadamizi na mtaalamu mbobevu katika siasa za vyama,

na hayo niliyoyaeleza kwa uchache ni matokeo ya tafiti za muda mfupi na mrefu juu ya ziara za hao wangwana wa chadema.

na katika siasa za kistaarabu, kuna utaratibu wa kisheria ni muhimu ukafuatwa, bila kutumia physical conditions yako ukadhani ati utahurumiwa na utaachwa udeke,

my friend,
utachukuliwa hatua vizuri sana tu, kwasababu sheria ni msumeno.
utashughulikiwa tu hatakama unasema mwili wako ni madawa tupu:NoGodNo:
 
Kama haina impact Lissu asingekamatwa bila sababu!
Amekamatwa kwa sababu CCM haiwezi kuvumilia ajenda ya No Reform No Election.
Gentleman,
muungwana analazimisha akamatwe kwasababu all the way tangu aanze ziara zake last week hafuatiliwi kabisa na wanachadema popote nchini,

sasa ziara iko ukongoni,
na hana pesa ya ziara nyingine zaidi,
kwahiyo anatafuta kiki ati akidhani anaweza kupata huruma mitandaoni labda sasa akafuatiliwa hali ya kua alishaonekana ni useless na completely nonsense na agenda zake zisizo na tija kwa wananchi:NoGodNo:
 
Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe.

Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri.

Kwakweli hata mapokezi duni waliyokua wanakutana nayo huko mikoani, yamechangia pakubwa viongozi hao wakuu wa chadema taifa wa-tone down kabisa, na wana dalili za kukata tamaa. Ni ishara ya kwamba moto wa G55 ni mkali zaidi yao mikoani.

Unadhani ni kwanini wananchi hawawaelewi kabisa CHADEMA na agenda zake?
Je, ni kwasababu wanalalamika sana au hawahubiri masuala yanayohusu mahitaji yao ya kila siku?

Mungu ibariki Tanzania :NoGodNo:
Hebu tueleze faida moja kubwa unayoipata kwa kukashifu ziara za Chadema, tafsiri yangu kwako ni mtu uliyekata tamaa baada ya kukosa kazi za kufanya.
 
Mtaf
gentleman,
mimi ni mtafiti mwanadamizi na mtaalamu mbobevu katika siasa za vyama,

na hayo niliyoyaeleza kwa uchache ni matokeo ya tafiti za muda mfupi na mrefu juu ya ziara za hao wangwana wa chadema.

na katika siasa za kistaarabu, kuna utaratibu wa kisheria ni muhimu ukafuatwa, bila kutumia physical conditions yako ukadhani ati utahurumiwa na utaachwa udeke,

my friend,
utachukuliwa hatua vizuri sana tu, kwasababu sheria ni msumeno.
utashughulikiwa tu hatakama unasema mwili wako ni madawa tupu:NoGodNo:
Mtafiti Chawa?
 
Mtaf

Mtafiti Chawa?
huyo kibaka na tapeli wa kisiasa ndani ya chadema,
kwanza haeleweki wala haaminiki chadema , lakini pia hakubaliki kwa wanachadema wanaongozwa na g55 🐒
 
Hebu tueleze faifa moja kubwa unayoipata kwa kukashifu ziara za Chadema, tafsiri yangu kwako ni mtu uliyekata tamaa baada ya kukosa kazi za kufanya.
Gentleman,
binafsi huwa naeleza mambo ya ukweli ya msingi tu, sifahamu chochote kuhusu kashfa.

Na,
jukumu hilo zito la kueleza ukweli, sichoki wala kukata tamaa, kwasabb nafanya hivyo kwa Neema na Baraka za Mungu tu 🐒
 
Unapomuita kibaka na tapeli haudhani hiyo ni kashfa!
 
Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe.

Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri.

Kwakweli hata mapokezi duni waliyokua wanakutana nayo huko mikoani, yamechangia pakubwa viongozi hao wakuu wa chadema taifa wa-tone down kabisa, na wana dalili za kukata tamaa. Ni ishara ya kwamba moto wa G55 ni mkali zaidi yao mikoani.

Unadhani ni kwanini wananchi hawawaelewi kabisa CHADEMA na agenda zake?
Je, ni kwasababu wanalalamika sana au hawahubiri masuala yanayohusu mahitaji yao ya kila siku?

Mungu ibariki Tanzania :NoGodNo:
Unakuta mjinga kama huyu kapewa buku 10 kisha anashangilia wanaokula pesa za maendeleo
 
Back
Top Bottom