Sigrada Wilhem Mligo Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Mkoa wa Njombe, CHAUMMA akichangia bungeni ameitaka Serikali kupunguza matumizi ili pesa zielekezwe kwenye miradi kusaidia wananchi
Anasema
"Kwa mfano ziara za Waziri Mkuu. Mimi sikatai Waziri Mkuu kusaidia wananchi. Tunaweza tukabana...
WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha za miradi ya maendeleo katika sekta za maji, barabara na nishati kupelekwa moja kwa moja kwenye...
Hiyo siku kuwe na usawa na haki toka kwa Polisi kusiwe na vitisho na kila mwananchi achague mwenyewe aende wapi, wakubebwa na magar wabebwe, wakwenda wenyewe waende then tupate picha ya siasa zetu je bila polisi kutoa vitisho na mashinikizo wataenda wapi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.