ziara za waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Fedha zinazotumika kwenye ziara za Waziri Mkuu ziende kwenye miradi, huwezi suluhisha mgogoro kwa siku moja

    Sigrada Wilhem Mligo Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Mkoa wa Njombe, CHAUMMA akichangia bungeni ameitaka Serikali kupunguza matumizi ili pesa zielekezwe kwenye miradi kusaidia wananchi Anasema "Kwa mfano ziara za Waziri Mkuu. Mimi sikatai Waziri Mkuu kusaidia wananchi. Tunaweza tukabana...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Fedha za maji, barabara na umeme kwenda moja kwa moja kwenye mifuko husika

    WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha za miradi ya maendeleo katika sekta za maji, barabara na nishati kupelekwa moja kwa moja kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Natamani ratiba za CHADEMA zigongane na za Waziri Mkuu ndani ya wilaya moja na siku moja tuone itakuwaje

    Hiyo siku kuwe na usawa na haki toka kwa Polisi kusiwe na vitisho na kila mwananchi achague mwenyewe aende wapi, wakubebwa na magar wabebwe, wakwenda wenyewe waende then tupate picha ya siasa zetu je bila polisi kutoa vitisho na mashinikizo wataenda wapi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…