Zimamoto Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2017.
Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
Kwenye ajira portal zimamoto kuna tatizo gani na mtandao wenu mbona kuna na vikwazo vya kuendelea na maombi ya ajira.
Anayehusika jamani weka sawa engine siku zina yoyoma
Habari wakuu poleni na majukumu
Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu
Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana,
Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
Jeshi la Uokoaji (Zimamoto) Mkoani Arusha, limeshindwa kumuokoa kijana aliyeshindwa kutoka kisimani hali iliyopelekea afie ndani ya kisima hicho.
Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana huyo, ndipo akatafutwa kijana amabye alilipwa kiasi cha Shilingi Laki Tatu na kufanikiwa kutoa mwili...
Wakuu
Makonda hapoi, huko Arusha ameamka na hii ya kutumia gari la Zimamoto
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiendesha gari la jeshi la Zimamoto na Uokoaji huku akihamasisha zoezi la usafi katika Mkoa wa Arusha leo Novemba 26 2024.
Serikali hizi zetu za kulakula bila kujali wananchi.
Ukijiuliza ni kwanini wanasiasa tu machawa ndiyo wana nunuliwa magari ya milioni 300 na mia nne kwa kazi za kufuta wagombea wa vijiji wakati zimamoto hawana vifaa vya kuokoa watu na mali zao.
Hakuna hata mtu mmoja anafukuzwa kazi. Kila kitu...
Kuliko kulipa watu mishahara kila mwezi kisha majanga yakiyokea hawaoneoani,
Tulivunje jeshi la zimamoto, waruhusiwe watu/kampuni binafsi kua na vifaa na ofisi zao.
Likitokea janga, wanashiriki imasavyo kisha wanalipwa, hii ingepunguza ngarama nanadhan private watakua effective.
Habari wakuu,
Nimejaribu kijisajili kwa mtandao katika mfumo wa zimamoto naona kama kuna changamoto kwa upande wangu.
Anaejua naomba msaada, au kama kuna tatizo naomba ma IT watusaidie, ukiingia tu kwenye mfumo unaombwa namba ya NIDA baada ya hapo mfumo hauendelei.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia.
Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa idara hizo katika masuala ya Usalama ikiwemo...
Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 .
Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto.
Tukio limetokea huko Dodoma
UTANGULIZI.
Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
Mimi ningeteuliwa kuwa kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji, jambo la kwanza ningeomba kibali cha kuunda vikosi maalum hata vinne, kwa ajili ya zimamoto na uokoaji wakati nchi inasubiri kuwa na kikosi nchi nzima, Rufiji haupo, Kilosa haupo.
Ndio maana hata kwenye gwaride hamkuwepo leo siku...
DART hapo ni Gerezani -Kariakoo, mwendokasi inaungua, wazimaji hawana ndoo za mchanga, hakuna mabomba ya maji ya kuzimia lakni kwakuwa ni karakana kubwa, basi walipasa kuwa na gari lao binafsi la kuzimia moto. Hii Kampuni juzi hapa kateuliwa mkurugenzi mpya, mambo yamekuwa mabaya kuliko hata...
Baada ya Magufuli kuingia madarakani, aliwapa hadhi idara ambazo ni idara tu na kuongeza matumizi yasiyo ya Lazma. Hili jeshi la zimamoto ni mzigo kwaTaifa na sasa tunaomba mh Samia Suluhu alirudishe kama zamani, fikiria halmashauri ya Moshi ilikuwa na magari matatu ya kuzima moto na ndiyo...
Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu.
Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024
Hivi kwanini masoko hayaungui mchana?
============
Kufuatia ajali ya Moto iliyoteketeza Soko la Mbuyuni, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema moja ya...
Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka.
Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho.
Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?