Zimamoto Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2017.
Kimsingi hatuna Jeshi la zimamoto na uokoaji, Report ya CAG inaeleza.
1. Upungufu wa vituo 283,370 vya vya kuchukulia maji ya kuzima moto sawa na 99.4%.
2. Upungufu wa vifaa vya zimamoto na uokoaji 6,352 sawa na asilimia 91%.
3. Jeshi hilo linarekodi matukio ya mlipuko wa moto na uokoaji kwa...
Habari za mchana?
Muda huu gari aina ya Toyota Hiace inaungua barabara ya 4 maarufu kama Tangamano jijini Tanga.
Si zaidi ya mita 500 toka ofisi ya Zimamoto mkoa wa Tanga.
Zimamoto wamechukua dakika zaidi ya 10 kufika eneo la tukio na walivyofika wakaanza kuvuta mpira kwa kutegea sio kwa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba...
Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee.
Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida?
Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
Serikali imesema imepanga kufanya maboresho makubwa katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ikiwa ni juhudi za kupambana na athari za majanga pindi zitokeapo ajali mbalimbali ikiwemo ajali ya moto ili kuweza kuokoa mali na maisha ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania itanunuliwa...
Kwa mara ya kwanza viongozi wa Urusi wamethibitisha kuwa lile tukio lililopata kuripotiwa sana duniani ilikuwa ni kama yale mazoezi ya kuzima moto nchini ambapo wakati mwengine ndege huripotiwa kuanguka na kuleta taharuki kubwa kwa wananchi.
Hilo limetolewa ufafanuzi na mnadhimu wa masuala ya...
Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela.
Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji.
Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
Mwenye taarifa sahihi anijuze!
Wakati wa utawala wa Dr. Kikwete, tulikuwa na KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW!
Alipoingia hayati Dr. Magufuli, kukazaliwa TANZANIA YA VIWANDA!
Kabla ya KILIMO KWANZA, BIG RESULTS NOW na TANZANIA YA VIWANDA, kulikuwepo na MKUKUTA, MKUTABITA, SIASA NI KILIMO...
Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
Salaam wanajukwaa,
Hii nchi imejaa usanii mtupu vyuo vikuu vinacheza na serikali na donors hasa wadau wa maendeleo.
Mpwayungu aliwavagaa walimu leo imeenda huko vyuo vikuu wanatengeza mitaala kwa kukaa maofisini, wanabuni masomo kwa hisia zao kihuni tu, hawafuati hatua stahiki, malecturers...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam Lita 500 kwa kila gari.
Waziri Bashungwa amekabidhi magari hayo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili.
Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli
Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill
Watakuwa walikuwa wanapita njia...
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.
Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
Ndege kampuni ya LATAM ya Peru imeligonga gari la zimamoto lililokatiza kwenye 'runway' ambayo iko "active". Maafisa wawili kati ya wanne waliyokuwa ndani ya gari hilo wamefariki papo hapo.
Baadhi ya wanasiasa nchini humo wamelitupia lawama jeshi hilo kwa kutofuata kanuni za kiusalama.
Video.
Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa.
Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa?
Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe.
Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
Hawa watu wanakuwaga na sifa sana kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru, huwa wanatuonesha umahiri na ukakamavu wao, cha ajabu yanapo tokea majanga huwa hawaishiwi visingizio.
Halafu kuna kipindi huwa wanateketeza mali za Umma kuandaa mazoezi ya utayari, yaani wanaandaa ajali feki ya ndege au...
Nasikia serikali imempa kiongozi wa waokoaji 1m. Ingependeza, kama anataka apewe kazi zimamoto na uokoaji.
Yeye na wenzake waliopambana kwaajili ya maisha ya watanzania wenzao. Ufaransa kuna kijana muhamiaji alipambana kwenda kumuokoa mtoto aliyekuwa karibu kuanguka ghorofani, zawadi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.