Mwenye taarifa sahihi anijuze!
Wakati wa utawala wa Dr. Kikwete, tulikuwa na KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW!
Alipoingia hayati Dr. Magufuli, kukazaliwa TANZANIA YA VIWANDA!
Kabla ya KILIMO KWANZA, BIG RESULTS NOW na TANZANIA YA VIWANDA, kulikuwepo na MKUKUTA, MKUTABITA, SIASA NI KILIMO...