Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie...
Kama wewe ni mtumiaji na msafiri utakubaliana na mimi kwamba wavunjaji wakubwa wa Sheria za barabarani ni Serikali, magari ya ST hayafwati Sheria zozote, hayasimami kwenye taa, yanatanua, huko kwenye kibao cha 50 km/saa wanakwenda wanavyotaka, angalau Waziri aliyepita alikuwa anadili nao lakini...
The Tanzanian opposition must unite to defeat ‘medieval feudal lord’ John Magafuli
Opposition parties in Tanzania need to join forces when the country goes to the polls, to change the course of history and ensure that future generations get the chance to enjoy a brighter life.
A pivotal moment...
Tanzania Opposition leader Zitto Kabwe arrested ahead of October election
Police in Tanzania have arrested Opposition leader Zitto Kabwe during a political meeting that was held in the south-eastern region of Linde ahead of October 2020 elections.
Kabwe was arrested along with seven other...
Zito Kabwe amesema hili leo wakati akiichambua bajeti ya Magufuli 2020/2021 pamoja na kutoa mwelekeo wa chama chake kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2020.
Amesema kama chama cha ACT - WAZALENDO kitapata ridhaa ya wananchi wa Tanzania kupitia sanduku la kura ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu na...
Hili ni wazo fikirishi linahitaji tafakuri ya kina zaidi! Siasa na rangi ya vyama vikae pembeni.
Kwa inavyoonekana na kama ilivyotabiriwa awali na WHO; hali ya maambukizi na kusambaza kwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya SARS-CoV-2 imefikia hatua mbaya sana!
Hivi mpaka usikie...
Hata wabunge hawataki kuisoma hii michezo lakini baada ya TISS kuona ugumu wa Tundu Lissu kuhamia ACT kwa maana ya kuimaliza CHADEMA Plan B ikapangwa nayo ni kuupaisha umaarufu wa ZITO kwa gharama yeyote hili tayari limewezekana.
Baada ya BUNGE kuvunjwa Wabunge kadhaa na madiwani wa CHADEMA...
Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amesema kama kulikuwa na tatizo la kisera, ni mambo ya kujadiliwa bungeni. Sio mara ya kwanza kutokea sera zikawa na udhaifu au zinahitaji maboresho.
Anasema Zitto alipaswa awasilishe maoni yake na mapendekezo kuhusu ubovu wa sera ya elimu kisha litazamwe. Ndio...
Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3.
Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar...
Je, Zitto Kabwe ni mmoja wao? Nimeona anavaa kama communist Mao, anahubiri anarchy kama communist wa South America, alikutana na Corbyn wa Uingereza ambaye ni certified communist.
Je, huyu jamaa ni kweli communist au ni communist wanna be, communist ni watu hatari sana, Communist Mao Zedong...
Kufuatia hali ya kutokuaminiana katika uendeshaji wa shuhuli za kisiasa ikiwemo chaguzi mbalimbali hapa nchini Tanzania, napendekeza badala ya kuitisha uchaguzi mkuu 2020 iundwe serikali ya umoja wa kitaifa itakayoshirikisha vyama vyote vyenye wabunge ili kufanya yafuatayo:-
(i) Pesa yote ya...
Kila Taifa ni lazima liwe na maono yake. Kila Taifa ni lazima lijue linapoelekea. Kila Taifa ni lazima liwe na muongozo na Dira. Matumaini ya Taifa lolote huwa mikononi mwa Viongozi wao ndio wanaamua baadae na historia ya Taifa.
Tatizo tulilonalo ni viongozi walikosa ambition kwa Taifa hili...
SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam
Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam.
Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi.
Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana...
The new Barrick Gold Corp is considering options for its stake in Acacia Mining PLC including possible sale, as Barrick works to end a nearly two-year-long tax dispute in Tanzania that has effectively shuttered operations there, Chief Executive Officer Mark Bristow said on Wednesday.
The new...
Kumekua na sintofahamu kuhusu sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii hasa baada ya SSRA kuja na kanuni zenye kikokotoo cha 25%, ukipita kote kwenye mitandao ya kijamii kumekua na kulaumiana kati ya Wabunge kama wawakilishi wa wananchi na wafanyakazi, kila kundi likilaumu jingine. Wabunge wa...
Jumamosi April 15 mwaka huu umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) ulifanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea juu ya matukio mbalimbali ya watu kupotea, kutekwa na wengine kuuawa. Katika mkutano huo tulieleza baadhi ya hatua tulizochukua kuhusu hali hii ya kuogofya inayoendelea nchini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.