zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Pascal Mayalla

    Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

    Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza kulipa mema, au kupigwa na mapigo ya kufidia uovu!. Karma ni powers of 'cause and effects' ambapo...
  2. K

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later. Original post: "Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini...
  3. Taswira

    Absalom Kibanda, hivi Zitto Kabwe anasatahili dhihaka na matusi ya kina Lissu na Mnyika?

    "NAMTAFAKARI ZITTO KABWE: Hivi huyu kijana anastahili matusi, kejeli na dhihaka za namna hii kutoka kwa akina Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema! Ni stahili yake kuitwa msaliti? Ama kweli siasa ni mchezo mchafu na usio na shukrani". Ni maneno ya Mwandishi na Mhariri wa habari...
  4. Lyimo

    Mustafa Mkolo amuombe radhi Zitto Kabwe

    Inakumbukwa kuwa mwaka jana mwezi wa tano kulikuwa na vuta nikuvute kati ya Mh. Zitto Kabwe na waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo. Katika mkutano wa hadhara mjini Mbeya, Zitto alielezea habari ya kufilisika kwa serikali na hata kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wake kwa wakati...
Back
Top Bottom