zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

    Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
  2. Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

    Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE. SWALI MUHIMU: msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi? CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
  3. Kama kuna Ulazima wa Kubadili Jina la Waziri wa Fedha napendekeza David Kafulila au Zitto Kabwe

    Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate. Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr...
  4. Zitto Kabwe alikuwa na nguvu gani isiyo ya kawaida?

    Leo nimelikumbuka bunge la spika Sitta la mwaka 2005-2010. Lilikuwa ni bunge la aina yake. Matukio mengi sana yalitokea katika bunge lile mpaka likagharimu nafasi ya hayati Sita kama Spika wa Bunge. Ila leo, nimekumbuka zaidi matukio ya Zitto Kabwe. Tukio la kwanza ni kuhusu ajali ya hayati...
  5. S

    Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana. Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia! Mfano ni Zitto Kabwe kipindi...
  6. Tunahitaji Katiba Mpya au upinzani mpya?

    Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu. Kwa kuzingatia...
  7. Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri. “Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
  8. A

    Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

    Zitto kabwe ameibuka na kauli kuhusu Usafirishaji wa wanyama Pori kwenda nje ya nchi uliositishwa leo na Waziri wa Maliasili na utalii akisema umegubikwa na udini ndani yake. Kwamba waliokosoa wanaichukia Serikali kwa sababu inaongozwa na Rais Samia ambaye ni Mwislam, kwahiyo anaona watu kuhoji...
  9. Wapinzani Kualikwa TBC. Zitto Kabwe Aalikwa Live Program TBC. Hongera TBC, Hongera Dr. Ayub Rioba, Huu ni Uthibitisho Sasa TBC ni TV ya Taifa ya Wote!

    Wanabodi, Kwa watu wasiojua mambo ya utangazaji na haswa live programs mnaweza msielewe msingi wa pongezi zangu, kwa vile mimi ni Mtangazaji na nilifanyia kazi, TBC, I know what it takes kumualika mpinzani Vocal kama Zitto Kabwe kwenye a live program ya TV, hivyo hizi hongera zangu kwa TBC na...
  10. Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
  11. K

    Je Zitto Kabwe ana Legacy Gani Hapa Tanzania?

    Ndugu wanabodi habari zenu!! Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana ushahidi wowote.Lakini serikali ya mama Samia imekaa kimya tu...
  12. Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

    Siku moja baada ya mwanasiasa Willbrod Peter Slaa kukosoa mchakato wa jamii kuichambua ripoti ya CAG kwa madai kuwa sheria hairuhusu kufanya hivyo mpaka Kamati ya Bunge iipitie, ameomba radhi kwa kueleza kuwa alikuwa anasimamia sheria ambayo haikufanyiwa kazi. Dkt. Slaa alinukuliwa akisema...
  13. Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

    Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini? Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua...
  14. SURA MBILI ZA ZITTO KABWE, Je wewe unamwongelea katika upande gani?

  15. Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

    Leo bungeni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amemvaa vikali kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe kwa kumsema Hayati Magufuli. Kibajaji amemuita Zitto muoga kupitiliza kwani wakati Magufuli yupo hai hakusema mpaka ameondoka. Pia Kibajaji amesema wote wanaomsema Magufuli ni wanafki na hata Samia...
  16. Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

    Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU I repeat a call...
  17. J

    Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

    ..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi. ..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani. ..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
  18. Zitto Kabwe: Watu wapo huru kwa sasa, hawaogopi kuzungumza

    Kiongozi wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe alikuwa kwenye kipindi cha Tv ndani ya Clouds TV asubuhi ya leo Aprili 11, 2022 amezungumza mambo mengi ya kisiasa, haya ni baadhi ya yale aliyozungumza kwenye interview yake hiyo: Amesema mazingira ya kisiasa Nchini Tanzania yamebadilika na kuna uhuru...
  19. J

    Jeshi siyo chama cha Siasa hadi utamani cheo cha Bosi wako mkuu. Hata kwenye Siasa tuliyaona yaliyomkuta Zitto alipotamani cheo cha Mwenyekiti

    Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii. Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako. Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi...
  20. Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

    Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto. Tokea miaka ya 2009 Chadema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…