zitto

  1. K

    Kumuenzi Maalim, CHADEMA inakwenda kuwa na nguvu Zanzibar kuliko ACT, Zitto amepotea

    Wazanzibar Wana msimamo, Maalim alitambua msimamo wa Wazanzibar akasimama nao. Wakaua Cuf lakini Maalim alibaki kuwa Imara. Amendoka Maalim amewaacha Wazanzibar wakiwa na chama kisicho na msimamo. Madhara yake Wazanzibar awabadiliki kimsimamo hivyo chama hakiwezi kuwa zaidi Yao. Kukosa Imani na...
  2. S

    Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

  3. Zitto Kabwe anahoji kuhusu Kiwanda cha Sukari, Kampuni ya Mkulazi Holdings

    Mwanasiasa anayeongea kwa Takwimu, Zitto Kabwe kaandika hivi; Juzi Nimeuliza hapa kuhusu Mradi wa Kiwanda cha Sukari Kampuni ya Mkulazi Holdings ambayo inamilikiwa na Shirika la NSSF na Jeshi la Magereza. Swali langu rahisi sana, KWANINI Wakala wa Barabara TANROADS ndiye aliyenunua mitambo ya...
  4. Zitto: Uchumi wetu ni duni sana

    Watanzania Milioni 31 ndio wenye uwezo wa kufanya kazi (nguvu kazi), kati ya hao 61.5% wanajishughulisha na Kilimo (ikiwemo uvuvi, ufugaji na misitu), 14.5% wanajishughulisha na Biashara, 3.7% wameajiriwa kwenye Viwanda na 1.4% kwenye uchimbaji wa madini. Uchumi wetu ni Duni sana
  5. J

    Dunia imesimama na Rais Samia Suluhu Hassan hoja ya Teenage Mothers

    Kila mwaka zaidi ya wasichana 6,500 wa Kitanzania waliachishwa|walifukuzwa shule kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni, Mwaka 2017 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwa kutumia nguvu ya Rais alikataa watoto hawa kuendelea na masomo. Benki ya Dunia...
  6. Tujadili uaminifu wa Zitto kwa Taifa letu

    Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati. Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa...
  7. Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

    Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa. Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
  8. M

    Usaliti wa Zitto na umuhimu wa Zitto kwa watanzania

    Habari wana jamvi, Nasikitika kusema watanzania walio wengi japo sio wote watakuwa wamelogwa na wala sio bure. Sasa naona hakuna cha wasomi wala wasio wasomi wenyekufikiri wapi tulipo na wapi tunatakiwa kwenda. Wengi humu wanajifanya wachambuzi wa siasa wazuri kumbe ni washabiki na wenye chuki...
  9. Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
  10. Udalali wa Zitto & Co kwa makampuni ya gesi na mafuta

    Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Zitto na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hoja ya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi. Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina...
  11. Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
  12. Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

    === Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri === Rais Samia alipunguza bei ya...
  13. Zitto: Mradi wa Kabanga Nickel ni Mradi wa Barrick uliofichwa kupitia kampuni ya LZ Nickel ya Uingereza

    Mikataba mipya ya Madini (Frameworks Agreements) itazamwe tena Na. Zitto Kabwe Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko ameainisha uwekezaji wa miradi mipya mikubwa mitatu inayoanza kufanyiwa uwekezaji hapa nchini. Miradi hiyo ni mradi wa dhahabu Nyanzaga wilayani Sengerema mkoani Mwanza...
  14. B

    Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

    Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau Zitto Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi cha njaa au cha neema. Zitto anachodhania yeye...
  15. Zitto Kabwe: Vitalis Maembe aachiwe mara moja, anaonewa.

    Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa Kaisari. Haivumiliki na tunataka Vitalis aachiwe Huru SASA HIVI https://t.co/QKqRbVOrqm
  16. Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

    Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana. Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza. Zitto alifika...
  17. Tunaposikia ya Makamba na Zitto kutaka kubinafsisha TANESCO, tukumbuke yaliyofanyika TTCL

    Kuna mashirika ya Serikali kutokana na wajibu wake ni kama idara za Serikali. Yanatakiwa yagharamikiwe na hazina kuu. Yanafanywa mashirika ili kuweza kudhibiti matumizi na kwamba iwepo tija. Ukitaka kugeuza TANESCO liwe la kibiashara moja kwa moja kwanza utapata muwekezaji gani? Lazima awe wa...
  18. Zitto Kabwe: Simbachawene usipigane na teknolojia, huwezi kushindana na kazi ya kukua kwa majukwaa ya mazungumzo

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
  19. Happy born day Mwamba Mbowe

    Leo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako. Mungu akupe maisha marefu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…