Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema...
Mwaka 2010 chama chake cha zamani waliweka katika Ilani yao ya Uchaguzi kupinga posho ya kukaa Bungeni kama hatua ya kubana matumizi ya Serikali. Wakakubaliana kuwa wabunge wa chama chao (CHADEMA) hawatapokea posho ya kukaa (sitting allowance).
Hata hivyo, ilipokuja katika utekelezaji wenzake...
Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga CHADEMA kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki.
Leo hii anatumika kuhujumu Watanzania wasipate katiba mpya kisa tu ACT Wazalendo ni vibaraka wa CCM na yeye...
Zitto huu unafki hsutakufikisha popote Wallah nakuapia. Ulisema mwenyewe kua hukumaanisha kwamba ulimuombea Mbowe msamaha kwa Rais isipokuwa CHADEMA walikuelewa vibaya, halafu leo unapigilia msumali kua ulimaanisha? Ipo siku utajutia tabia yako hii.
Nia yako ni kutaka Mbowe ajinyenyekeze kwa...
Hiki ni kituko kingine au anaota u-KUB ( Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Mhe. Zitto kutangaza Baraza la Mawaziri umetukumbusha tukio la kujiapisha kuwa Rais wa Kenya. Unatangaza Baraza la Mawaziri waiotambuliwa na Bunge au wasiokidhi vingezo la kwani Tanzania kwa sasa hatuna Kambi Rasmi la...
Mheshimiwa Zitto:
Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar.
Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa.
Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu...
Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.
Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo.
Leo hii amesahau kuwa alikuwa sio wa kujumuika na wanaCcm mafisadi na wazurumati? Kwa ajili ya...
Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni.
1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali.
Huwezi kuwa mstaarabu kwa...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Jana iliibuka story mitandaoni ya Jeshi la Polisi kumkamata Mtanzania Halali akikamua Mafuta bila kuwa na "usajili" yaani vibali, Mafuta ya mawese. Kama kawaida Jeshi letu (ambalo kwa mujibu wa Waziri wake, wengi wao ni failures) hawakumuumiza kichwa Wala kutumia busara, wakaitisha Press na...
Tulipoambiwa Kuna mabadiliko ya baraza kuwaruhusu wagombea Urais 2025 wakajiandae tulidhani wakitumbiliwa tutawaona Kwa sura zao na kusema hakika Hawa niwanamtandao wa Uchaguzi 2025.
Lilipotangazwa baraza tumejikutwa tunashangaa Hawa ndio waliomkwamisha mama? Wakati tunàshangaa tukaona...
Niulize swali hili ni kwa wanachama wote wa ACT-wazalendo wenye mawazo mema na taifa hili kama taasisi, hivi ni kweli mnakubaliana na ulaghai wa anakifanya bosi wenu? Yaani vyama vyote vikubwa vya upinzani vinataka mchakato wa katiba mpya lakini Zitto Kabwe anaamini tume huru ya uchaguzi ndio...
Ukweli ulio wazi ni kuwa Zitto kwa sasa hana mchango wowote kwenye siasa za upinzani za kutaka mageuzi hapa Tanzania, zaidi anachopambania ni maslahi yake binafsi kupitia serikali ya CCM chini ya utawala wa mama Samia. Jambo hilo sio afya kwa mustakabali wa malengo ya ACT hususani kwa upande wa...
Bahati nzuri ikulu imemuumbua kwamba yeye anatetea hata kitu Cha kijinga ilimradi kina maslahi ndani yake.
Hilo swala la figure kukosewa yeye ameshakuwa msemaji wa serikali na kuona ndo ukweli wenyewe.
Hayuko tofauti sana na Pascal mayala
Swala la kuwa huyu Kiongozi ni brilliant halina mjadala.
Pia swala la kuwa over ambitious, trickstar, Msoga slave, Tanzanian with foreign origin(moo), liko wazi narudia zitto ni mtanzania halali alie na asili ya nje hili huficha sana sijui kwa nini.
Chadema alikuwa anawasiliana na Kikwete...
From nowhere muanze kuwaingizia sumu watanzania kuwa hayati JPM hafai kisa tu aliziba na kuwabana msifanye ufisadi.Mbona wote mmekata kilimilimi chenu?
Hii nchi ina raia wanaojitambua na wameumizwa sana na wanasiasa wenye njaa na wanaopenda kujaza matumbo yao kama Bulembo, Zitto na wengine...
Anajua akimchafua Magufuli labda atapata kiki maana sasa wapinzani na wanaCcm kwa ujumla walishamchukia na kumuona ni tapeli la kisiasa lenye kujali matumbo yake.
Amejaribu kuonyesha na kuchambua juu ya namna Kabanga nikel ilivyouzea kwa hasara lakini amepuuzwa na wananchi.
Zile zama zake za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.