Sikufahamu kwalo!
"...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!"
Mdau.
Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
Naona huko twita anapost bila hata kuficha kitu. Anadai kuwa Akina Ben, Azory na wengine wengi ni wahanga.
Kwa hiyo kama ndio hivi wahusika watakuwepo mitaani huu ndio wakati wa kuwapeleka kortin.
Leo bungeni mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amemvaa vikali kiongozi mkuu wa ACT, Zitto Kabwe kwa kumsema Hayati Magufuli. Kibajaji amemuita Zitto muoga kupitiliza kwani wakati Magufuli yupo hai hakusema mpaka ameondoka.
Pia Kibajaji amesema wote wanaomsema Magufuli ni wanafki na hata Samia...
Hbr za muda huu
Niko Hapa natazama Bunge la 12 mkutano wa saba , kikao Cha la kumi na moja , mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chini ya Waziri Jenister Muhaghama
Alipewa nafasi bwana Lusinde kuchangia katika mjadala unaoendelea badala ya kujikita...
Wasalaam
Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi!
Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana,
Hawa watu, wamepitia mambo magumu mno mbali na kuwa na ushawishi Mkubwa kwa jamii, lakini hakuna...
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU
I repeat a call...
Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.
Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema...
Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola?
Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na watu wa CcM na kuharibu chama chetu mpaka tukamtimua?
Huyu ni mtu anayejali pesa na matumbo yake. Kwa...
..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi.
..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani.
..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
Kiongozi wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe alikuwa kwenye kipindi cha Tv ndani ya Clouds TV asubuhi ya leo Aprili 11, 2022 amezungumza mambo mengi ya kisiasa, haya ni baadhi ya yale aliyozungumza kwenye interview yake hiyo:
Amesema mazingira ya kisiasa Nchini Tanzania yamebadilika na kuna uhuru...
Mwanasiasa Zitto Kabwe amempongeza kauli ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kuhusu umuhimu wa haki.
Zitto ameandika: “Asante sana Nape Nnauye kwa msisitizo huu wa HAKI. Haki za Watu ni jambo la Msingi kwa jamii yeyote kuweza kupiga hatua. Nimefarijika sana...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani.
Amesema zamani walidhani ni mchakato utakaoongozwa na TCD lkn baada ya kuambiwa utakuwa unaripoti kwa rais...
Nchi si shamba la bibi. Katika nchi, yote ni kwa mujibu wa katiba.
Kwa mujibu wa katiba, sote tuna haki sawa ambapo uamuzi ni kwa kura. Kura moja kwa mtu.
Si Samia, Zitto, Mukandara, Dr. Hosea au awaye yote kwamba wanaweza kujimilikisha mustakabala wa msingi wa nchi hii.
Labda kama wanataka...
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.
Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau
Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno...
Wanasiasa wawili maarufu, Godbless Lema ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, na Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo wameingia katika vita ya maneno.
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter, Lema ameandika ujumbe ambao bila kumtaja mtu jina...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameachiwa huru leo Machi 4, 2022, na Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, baada ya DPP Kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo.
Hatua hiyo imekuja siku...
ANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON.
The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President @SuluhuSamia on the 30th March 2022. The conference with specific reform agenda will be attended by...
"Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na kuimarisha Taasisi yetu ya ACT–Wazalendo. Asante sana kwa Maisha yako kwetu Maalim."
Kiongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.