Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.
Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.
Nitoe mifano michache ya...
KORONA: HATUA ZA SERIKALI NA UMUHIMU WA KUJILINDA WENYEWE
UTANGULIZI
Ndugu wananchi wenzangu,
Kama mnavyofahamu, sisi ACT Wazalendo tumekuwa tukiuchukulia kwa uzito wa juu kabisa ugonjwa wa Virusi vya Korona (Covid 19). Sio tu kwa sababu tunaamini kwamba ugonjwa huu kama janga la dunia...
Mbunge wa Momba mh David Silinde yuko mubashara Star tv katika kipindi cha medani za siasa akizungumzia sintofahamu ya uanachama wake ndani ya Chadema.
Up dates;
Silinde amesema yeye siyo mwanaharakati hata Mbowe analijua hilo na kwamba yeye na Zitto ni marafiki lakini baadhi ya viongozi...
Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME.
Angalia nakala ambatanishwa.
TANZANIA
Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of...
Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge...
Wajumbe wa kikao aka mkutano, habari zenu na poleni na majukumu.
Leo nimekuja na agenda hiyo juu kuhusu utapeli wa kimtandao na wa rejareja wakati maisha yakiwa magumu huku kuna watanzania wenzetu wanapiga hela kwa wenzao kwa kutumia uongo uliokaribu na ukweli. Kuna utapeli wa wa aina nyingi...
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!
UJUMBE WA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE KWA WATANZANIA KUHUSIANA NA NAMNA BORA YA KUKABILIANA NA VIRUSI VYA KORONA – JUMAPILI, TAREHE 29 MACHI, 2020
Watanzania wenzangu,
Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu, Muumba Mbingu na Ardhi, kwa kuendelea...
Najua kuna watu wapo kazini kuhakikisha Membe anagombea urais kupitia ACT lakini siyo kwa maslahi ya taifa bali ni kwa maslahi ya CCM.
Nashauri ZittoTundu Lissu wapitie bandiko ili wafanye kitu kwa maslahi mapana ya upinzani kwa ujumla,nawahakikishia mtashinda.
Membe hawezi kushinda urais...
Usiku wa leo imesambaa taarifa kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi amejiuzulu kwa shinikizo baada ya kutoa maoni yake kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa Corona nchini.
Taarifa hizo zimekanushwa; Kwa mujibu wa barua hiyo inayoonesha Profesa Janabi...
Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo.
Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto
#COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu.
- Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
Jeshi la Polisi nchini limemtaka Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto kuwasilisha taarifa haraka za mhalifu kwa njia ya mtandao, anayetafutwa na serikali kwa muda mrefu anayejiita Kigogo, ili mhalifu huyo akamatwe.
Limesema hivyo kutokana na taarifa iliyotolewa hivi karibuni na...
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.
Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.
Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.