Mambo ni mazito kidogo.
Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.
Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.
Hii ni hatari tupu.
Kama watanzania hatuwezi kunyamaza kimya tukiwachekea wanasiasa wa hivi inaonekana kuna faida fulani wanayo ipata kwa kupitia haya matamko.
Mnataka kutuaminisha nini watanzania na tukisha amini hicho mnachotaka tukiamini Kisha nini kifuate?
Tunajua haya matamko yenu yana nia ovu Ila mjue tu...
Anaandika Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter.
"Tupo tayari kwa Uchaguzi. Kwa upande wa majimbo tumeona tunaokwenda kushindana nao. Kwa Kigoma nimesikitika kuwa sauti muhimu kama Nsanzugwanko, Serukamba na Hasna hawatakuwapo Bunge la 12. Kwa Nchi uzoefu wa Mzee Chenge...
Kabla hata Kura hazijapigwa, Zuberi ana uhakika wa kupata gain ya zaidi ya asilimia 1000 katika uchaguzi ujao. Kwa sasa yeye ndiye mwenye bargaining chip kuliko mwanasiasa mwingine nchi hii kwani amefanya political business nzuri sana kushinda ata CCM ambao wamesemekana kununua wabunge na...
Amani kwenu,
Leo sina mambo mengi sana, nina mambo mawili.
Kwanza ni ombi
Pili ni hoja ya leo ambayo kimsingi ni msisitizo wa maswali yangu yaliyokosa majibu kwenye uzi wangu wenye kichwa cha habari "wapinzani Msitufokee Watanzania Sio Wasahaulifu Kiasi Hicho".
Ombi langu ni kuwa wachangiaji...
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.
This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1...
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Dhambi nyingine ni za kujitakia tu, KC Zitto unaamini kabisa BKM amekuja ACT wazalendo ili amuunge mkono mgombea wa CHADEMA?
Hiyo unaweza kuwadanganya watoto wadogo lakini sisi tulioshiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1985 kamwe huwezi kutulaghai, tunakumbuka mzee ruksa alivyokomaa na kutinga...
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.
Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
Kuna kauli zinatoka na zinahitaji kuungwa Mkono na kila mtu au kupingwa na kila mtu.
Binafsi niliposikia Magufuli anasema uchaguzi wa kura za maoni CCM uwe huru na wazi nikaona hii kauli ya kuungwa mkono na kila mtu. Na vyama vya upinzani pia viunge kwa vitendo na kwa maneno kauli hii.
La...
Nimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo.
Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’.
Pia, eti...
ZITTO ANAJUA NINI ANAFANYA.
Mbowe alipompeleka Lowasa CHADEMA (inasadikika kidikteta) alisema wamebadilisha gia angani. Mbowe alikuwa anaamini Lowasa atashinda uchaguzi, alitegemea kuwa ile mitandao ya Lowasa italinda kura na CHADEMA kitashika madaraka. Baada ya matokeo ya uchaguzi (inasadikika...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe katika ukurasa wake wa Twitter amepakia picha akiwa anatabasamu huku akiwa ameshika Katiba ya chama cha ACT Wazalendo . Je, inaashiria kwamba amehamia katika chama hiki? Ikumbukwe Membe amefukuzwa kwenye chama cha...
Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania.
Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu...
Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.
Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano.
Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER".
Leo 13:15pm 04/07/2020
Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni...
Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?
Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.