Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika Kata ya Bangwe leo Oktoba 16, 2020.
Zitto ambaye pia ni Kiongozi wa Chama anatarajia kuwaeleza wananchi hatima ya kura za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye.
======
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini.
Hakika umekuwa machachari kwa kujenga hoja,kukosoa Serikali ,kuponda na hata kutukana na kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali...
Akiwa huko Mihambwe Zitto amewataka wananchi wachague mtu mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli.
Ndugu Zitto amewaambia wananchi kuwa lengo kuu ni kumshinda Magufuli na amewataka wananchi wasigawe kura, maana wakifanya hivyo Magufuli atapita katikati kiulainii.
Katika mahesabu makali ya upinzani...
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya Upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar.
Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais...
Zitto ametweet dk chache zilizopita ameandika "Nimezunguka Nchi yetu na kuona hisia za Watanzania. Juzi Mtwara Mjini alinifuata mama mtu mzima sana na kuniambia “mwanangu mmeshindwa kukubaliana Mgombea mmoja? Tafadhali mwanangu jitahidini”. Nilipata uchungu sana moyoni. Watanzania wanataka...
Baada ya Dkt. Magufuli kupita mkoani Kigoma na kumwaga sera zake.
Kisha kesho yake akafuatia Lissu aliyekwenda kung'oa magugu na kupanda ngano yake
Siku iliyofuata, Ikawa ni zamu ya Zitto kupita Kigoma na kung'oang'oa magugu zaidi na kwa kufanya hivyo indirectly akapalilia ngano iliyopandwa na...
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea...
Waungwana hebu tuwe tu wakweli bila jazba wala chuki, Kati ya viongozi wa upinzani hawa wawili, Lissu na Zitto namuona Zitto kuwa yuko vizuri sana kwenye kujenga hoja za Kisiasa.
Lissu ni mzuri sana kwenye field yake ya sheria ila kiukweli nadhani hata CHADEMA wenyewe sasa hivi watakuwa...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.
Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.
My take; Mbona Zitto...
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
Ndugu zangu,
Hii inatokana na uzoefu wa kura za Wazanzibar hususani wapemba ambao hupiga kura kutegemea chama anachotoka Maalim Seif. Kama hali itakuwa hivyo ACT wana uhakika wa wabunge angalau 20 kutoka Zanzibar kitu ambacho CHADEMA au chama kingine hakiwezi kupata wabunge kumi (10) nchi...
Nilitegemea baada ya mgombea urais wa JMT Tundu Lissu kupitia CHADEMA kumuunga mkono mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad, ungejitokeza na kupongeza na pengine kushauri Membe naye amuunge mkono mgombea wa CHADEMA, hujafanya hivyo, labda pengine ni mapema mno bado...
Na Elius Ndabila
Leo chama cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Mh ZITTO KABWE wamezindua ilani yao ya uchaguzi baada ya makubaliano yao ya kuungana dhidi ya CCM kugonga Mwamba. Katika hafla hiyo ya kuzindua ilani yao, pamoja na wazungumzaji wengine Mh KABWE amezungumza mambo mengi ili kujaribu...
Napenda kuweka wazi juu ya huu mpango wa maboresho ya Elimu, huu mradi ulianza enzi ya utawala wa Mkapa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia (World Bank) mradi huu ni matokeo ya mpango wa serikali kusamehewa madeni chini ya HIPC na unaenda hatua kwa hatua kulingana na mahitaji ya wakati na ufanisi wa...
Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.