Leo tarehe 01 Julai 2020, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe na viongozi 7 wa Chama wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Lindi kama walivyohitajika.
Kiongozi wa Chama na viongozi hao pamoja na Mbunge wa Kilwa Kusini aliyemaliza muda wake Ndugu Suleiman Bungara walikamatwa na...
Na Mwandishi Wetu, Kilwa
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa Benard Membe kujiunga na upinzani rasmi hapa nchini.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa, Zitto alisema mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa mbunge na waziri wa wizara...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
Wanasema Zitto sio jambazi na mwizi kushikiliwa vile kama alivyofanyiwa na askari aliyemkamata hawaamini kwanini alimuharasi kiasi kile.
Wanasema Zitto ajavunja sheria yeyote na mikutano ya ndani haijakatazwa mpaka mtu akamatwe kama jambazi wazee wanasema wanampa muda yule askari aombe radhi.
Polisi wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi wamemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe Pamoja na baadhi ya viongozi wengine wakati wakiwa wanaendesha kikao cha ndani cha kukaribisha Madiwani wapya.
---
Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter...
Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo.
Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa...
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa
Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake.
Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, amesema taarifa ya serikali ndio silaha ya kubomoa hoja zote zenye matege za serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Zitto ambaye ni kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo amesema watawakaanga kwa mafuta yao wenyewe.
“Ninasubiri kwa hamu sana siku 70...
Bunge linavunjwa huku vyama vya CCM, NCCR na ACT wazalendo vikifaidika kwa kuvuna wanachama wapya miongoni mwa wabunge na CHADEMA na CUF vikipoteza.
Hongereni Mbatia na Zitto na Spika Ndugai
Poleni Mbowe na Magdalena Sakaya.
Maendeleo hayana Vyama
June 14 2020
Source : Wazalendo TV
KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.”
Akizungumza...
Leo katika uchambuzi wake wa hotuba ya bajeti ya serekali iliyowasilishwa juzi bungeni, Mh Zitto Kabwe ameibua maswali vigongo ambayo yanahitaji majawabu ya uhakika kutoka serekalini.
Zitto amesema mahesabu yanakataa.
Hata mimi naafikiana naye.... mahesabu yanagoma kabisa!
Pitia presentation...
Nakumbuka kati ya mwaka 2017 au 2018,Zitto aliibua tuhuma kuhusu machimbo ya madini ya chuma ya Leganga na Mchuchuma tuhuma ambazo zilipelekea aitwe TAKUKURU kwa mahojiano, ila tangu ahojiwe hatujawahi kupewa mrejesho.
Cha kujiuliza hapa ni je,kama tuhuma zile zingekuwa za uongo, Zitto...
Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze.
Kulingana na barua hiyo,Msajili...
Zitto alikuwa ni one of the Big Guns za CHADEMA, yaani kwenye top 3 unamkuta Mbowe, Slaa na Zitto; kipindi hicho hawa wengine kama kina Lissu, Lema na wengineo hawajaibuka kiivo, Kiufupi alikuwa moja kati ya Pillars za chama alipofutiwa uanachama Zitto aliendelea kuwa muungwana sana kwa namna...
Hapa chini ni swali ambalo Mh Zitto Kabwe ameuliza kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Sina uhakika amelilenga kwa nani lakini binafsi naona si sahihi kwa ACT, Chadema na/au vyama vingine serious vya upinzani kuuliza swali hili in the first place.
In fact, ni sisi wananchi ndiyo ambao kwa miaka...
Habari zenu wakuu wangu?.(Mh.Lowata Ole Sanale- Mkuu wa mkoa),Mh.Regina Chonjo-Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Katibu Mkuu wizara ya Maji Mh.Kitila Mkumbo na wote mnaohusika bila kuwasahau Wana-JF mtakaounga mkono uzi na andiko hili muhimu.
Bila shaka ni wazima wa Afya
Kuhusiana na kichwa cha...
Nilidhani ''watetezi wa haki za binadamu'' wangekuwa mstari wa mbele kulaani yanayotokea Marekani ,bahati mbaya hawayaoni hayo,kisa ni baba yao ndio anayafanya hayo''mazuri'' hayo yangefanyika Tanzania basi ungewasikia Zitto,Lissu,Fatuma na Maria wanaitisha press conference na kulaani kwa nguvu...
Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.
UPDATE
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.