ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga mkono lakini wapinzani wengine wao wanapinga kila kitu kinachokuja mbele yao.
Leo katika ziara ya...
Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina...
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE.
SWALI MUHIMU:
msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi?
CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
Zitto ahesabiwa ampa tano Rais Samia.
Zitto Kabwe kamaliza kuhesabiwa adai ana furaha kubwa Sana baada ya kupokea ujumbe wa simu kutoka kwa rais Samia ambapo naye aliuforward kwa M/ Kiti Mbowe incase Kama hakupata wake, pia amewataka wananchi na wanachama wa ACT kujitokeza kuhesabiwa.
Leo nimelikumbuka bunge la spika Sitta la mwaka 2005-2010.
Lilikuwa ni bunge la aina yake. Matukio mengi sana yalitokea katika bunge lile mpaka likagharimu nafasi ya hayati Sita kama Spika wa Bunge.
Ila leo, nimekumbuka zaidi matukio ya Zitto Kabwe.
Tukio la kwanza ni kuhusu ajali ya hayati...
Wana njaa sana na wao pesa mbele.
Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu.
Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
Namsikiliza hapa Katibu wangu redioni anasema suala la Mama Samia kuwa na wajomba sehemu nyingine ya dunia sio kubwa Kama linavyotaka kuaminishwa.
Ameenda mbali na kusema mababu zake Zitto wakati wanahamia Kigoma wakitokea Bukavu DRC baadhi ya ndugu zao walibaki huko na wanatembeleana mara...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri.
“Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema.
Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni.
Sasa...
Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo.
Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo alifungua kesi Mahakamani akiomba zuio la muda asivuliwe uanachama wake ambapo mahakama ilikubali...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi kusaliti demokrasia na mageuzi ambayo yeye ameyapigania tangu akiwa na umri wa utoto.
“Mimi ni miongoni mwa watu tuliopachikwa jina la usaliti, kama binadamu, siwezi kujisikia vizuri kuitwa msaliti wa mageuzi na demokrasia kwa sababu tu...
Ni muda sasa chama chako hakina imani nawe. Naona hata Iringa tu hawawakukubali. Sababu hazinihusu.
Ila karibu sana CCM huku nadhani utapata nafasi ya kuweza kufanya mambo yako vizuri.kwa uhuru.
Chadema nadhani ni kama wamekuchoka pia kutokana na matamko yako. Umekuwa one man arm...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇
Ndugu wanabodi habari zenu!!
Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana ushahidi wowote.Lakini serikali ya mama Samia imekaa kimya tu...
Siku moja baada ya mwanasiasa Willbrod Peter Slaa kukosoa mchakato wa jamii kuichambua ripoti ya CAG kwa madai kuwa sheria hairuhusu kufanya hivyo mpaka Kamati ya Bunge iipitie, ameomba radhi kwa kueleza kuwa alikuwa anasimamia sheria ambayo haikufanyiwa kazi.
Dkt. Slaa alinukuliwa akisema...
Hahaha hahaaa
Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno?
Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo?
Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa
Mara hooh...
Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini?
Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.