ziwa victoria

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbours Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometre.On 10 September 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on 11 April 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ni wakati muafaka serikali kufunga uvuvi wa samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita kuwezesha samaki kuzaliana

    Ni jambo lisilopingika kwamba samaki katika Ziwa Victoria wamepungua sana na inawezekana kwa asilimia 80. Kunusuru hali hii inabidi Serikali kupandikiza vifaranga wa samaki hasa wale wa sangari, dagaa, sato, mumi, ningu, kamongo, na wengineo kwa mamilioni ili idadi ya samaki iongezeke kwa kasi...
  2. Offshore Seamen

    Njia ya Haraka ya kuondoa magugu maji(Water weeds) katika Ziwa Victoria

    Magugu maji yana njia nyingi za kuondoa ikiwa ni kutumia madawa, kupandikiza samaki na viumbe wanaokula magugu maji na kuondoa kwa kukata kwa njia ya mkono na mashine Maalum za kukatia magugu maji (water weeds harvester). Kwa hatua iliyofikia kwenye ziwa Victoria ni kutumia mashine za water...
  3. The Watchman

    Wavuvi ziwa Victoria waitaka serikali kudhibiti wimbi la uvamizi linalodaiwa kufanywa na maharamia wanaodaiwa kutoka nchi jirani

    Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli zao ndani ya Ziwa Victoria wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti wimbi la uvamizi linalodaiwa kufanywa na maharamia wanaodaiwa kutoka nchi jirani. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evance Mtambi baadhi ya wavuvi hao wamesema...
  4. Stephano Mgendanyi

    Uchumi Mkubwa wa Musoma Vijijini Kutoka Ndani ya Ziwa Victoria: Uvuvi wa Vizimba

    Ziwa Victoria lina umri wa takribani miaka 400,000 na ujazo wake wa kawaida ni kilomita za ujazo 2,760 (2,760 cubic kilometres). Mvua za mwaka jana ziliongeza ujazo wa maji ndani ya bonde la Ziwa Victoria lenye ukubwa kilomita za miraba 195,000 (195,000 square kilometres). Lilikuwa ongezeko la...
  5. The Watchman

    Video: Hali ilivyo ziwa Victoria, magugu maji yalifunika ziwa na kuathiri usafiri Kigongo Busisi

    Kivuko MV. MWANZA kinachotoa huduma kati ya Kigongo Wilayani Misungwi na Busisi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza kikikatiza katikati ya magugu maji wakati kikiwasili kwa ajili ya kupaki na kushusha abiria upande wa maegesho ya Kigongo. Uwepo wa magugu hayo katika Ziwa Victoria eneo la upande wa...
  6. Samwel Marwa

    DOKEZO "Mamayao" wadhibitiwe kunusuru uvuvi Ziwa Victoria

    Na Samwel Marwa (Mwandishi wa Habari na Mtaalam wa Mawasiliano ya Umma). "Naishauri serikali kuchukua hatua za pamoja na za haraka zaidi ili kukomesha vikundi hivi vya maharamia 'Mamayao' ili kulifanya Ziwa Victoria kuwa eneo salama zaidi kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi." Tanzania...
  7. P J O

    Jina la Ziwa letu 'Lake Victoria' libadilishwe kuwa Ziwa Nyanza

    Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC. Ukoloni unapoisha ni muhimu kurejesha utamaduni wetu na kurejesha asili yetu. Tukimalizana na lake Victoria tunaenda...
  8. T

    Wananchi wapewe elimu ya mazingira Kando ya Ziwa Victoria, kuna uchafuzi kubwa unaohatarisha afya

    Nimefanya utafiti kuhusu suala la mazingira katika maeneo mengi ya Kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza na hiki ndicho nilichobaini: 1. Taka zenye kemikali eneo la Soko la Samaki na Kamanga Beach Sisi wakazi wa pembezoni mwa Ziwa Victoria tumekuwa tukishuhudia mambo mengi ambayo ni hatarishi...
  9. U

    Wanaume wa Kijaluo wakimbeba David Livingstone mwaka 1885 kumuonesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua

    Wadau hamjamboni nyote? Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.
  10. ngara23

    Kuzuia uvuvi ziwa Victoria hakuna tija na ni kero kubwa

    Kumekuwepo utaratibu wa kusitisha uvuvi ziwa Victoria Kwa kipindi sasa. Kwamba wanasitisha uvuvi kwa muda kama kulipa likizo ziwa na samaki ili wazaliane Kwa kipindi hicho. Lakini tija ni ndogo na kero Na hii inaibua nafasi za rushwa maana kuna wavuvi huingia ziwani na kuvua kipindi hicho cha...
  11. Chomo

    Naomba kufahamishwa kwa wanaojua ni changamoto gani imeikumba biashara ya samaki kutoka ziwa Victoria?

    Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji. Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa. Bei zimekuwa zikipaa kila leo bila kushuka imepelekea walaji kupunguza manunuzi na hivyo biashara...
  12. ichumu lya

    Ziwa Victoria limewahi kukauka maji yote mara tatu

    Hii ina ukweli gani wakuu? ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani. Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
  13. Pfizer

    Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  14. N'yadikwa

    Ujenzi wa Vituo vya Kuvuna Maji ya Bahari ya Hindi na Ziwa Victoria Kama Njia ya Kutatua Tatizo la Maji Tanzania

    Na N'yadikwa - Safarini Rwanda Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi, hususan katika miji na maeneo yenye uhaba wa vyanzo vya maji vya kudumu. Tatizo hili linahitaji mbinu bunifu na za kisasa ili kulitatua kwa ufanisi. Mojawapo ya mbinu zinazoweza kusaidia ni...
  15. Pfizer

    Mwanza: Mradi wa Tsh 60 bilioni kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria

    Mwanza. Serikali ya Tanzania imewekeza Sh60 bilioni kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria. Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto Lugenge aliwaambia wandishi wa habari waliotembelea bandari za Bukoba na Kemondo kuwa uwekezaji huu mkubwa katika bandari za Kemondo, Bukoba na Mwanza...
  16. MTINGIJOLI

    Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria

    Wakuu Habari, Nahitaji Sehemu Nzuri Kando ya Ziwa Victoria ambapo Nitapata Vinywaji na Chakula kwa Affordable Prices NB: Yasiwe Mahoteli Makubwa Makubwa
  17. J

    DOKEZO Utendaji kazi wa TASAC unahatarisha maisha ya watu na mali zao kwenye Ziwa Viktoria

    Mamlaka ya usimamizi wa usajili wa majini TASAC katika mkoa wa Mwanza, wameendelea kwa muda sasa kufanya jambo la hatari kwa maisha ya watu na mali zao kwa kushindwa kusimamia usafiri wa Majini katika ziwa Victoria. Hivi karibuni zilitokea ajali mbli karibu na maeneo ya Kirumba jijini Mwanza...
  18. Roving Journalist

     Mwanza: Mradi wa maji chazo cha Ziwa Victoria Butimba Mwanza kazi imekamilika

    Ikumbukwe kwamba Tarehe 14 mwezi October 2024 katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumzia hali ya huduma ya Maji Mwanza aliweka bayana kuwa mwezi huu wa Octoba mradi mkubwa wa Maji wa chanzo cha Ziwa Victoria...
  19. Mkalukungone mwamba

    Mara: Watu wawili wafa maji Ziwa Victoria wakitokea kwa mganga wa kienyeji

    Watu wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria katika Kijiji cha Burere wilayani Rorya mkoani Mara huku wengine wawili wakiokolewa. Tukio hilo limetokea juzi Jumapili Septemba 29, 2024 saa 11 jioni wakati watu hao wakiwa wanatoka Kijiji cha...
  20. Mkalukungone mwamba

    Uokoaji wa miili ya watu 5 ziwa Victoria wasitishwa kwa muda kutokana na hali mbaya ya hewa na kukosa vifaa

    Kazi ya kutafuta miili ya watu watano wanaohofiwa kufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakitumia kuzama ndani ya Ziwa Victoria imesitishwa kwa muda, kutokana na hali mbaya ndani ya ziwa, hivyo waokozi kushindwa kuona kutokana na kukosa vifaa. Watu hao wanahofiwa kufariki dunia jana Septemba 15...
Back
Top Bottom