ziwa victoria

  1. instanbul

    Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

    MV Bukoba ilikuwa moja ya meli kubwa katika ziwa Victoria. Ilikuwa ina uwezo wa kusafirisha watu zaidi ya 400 na tani zaidi ya 100. Meli hii ilikuwa ikiondoka Bukoba siku za Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Meli hii sio kongwe kama ilivyokuwa MV Victoria iliyojengwa mwaka 1961; hii ilijengwa mwaka...
  2. Chachu Ombara

    Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uokoaji RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv Bukoba, inasema usiku wa kuamkia siku ya ajali, meli hiyo ilipakia abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37...
  3. K

    Ajali ya MV Bukoba: Makosa yamerekebishwa?

    "MV Bukoba was a passenger steamer that sank in Lake Victoria, 30 kilometers from Mwanza, Tanzania on May 21, 1996, killing nearly 1000 people. The boat transported passengers and cargo between Bukoba and Mwanza ports. The steamer's capacity was 430, but around 800 people drowned as the boat...
Back
Top Bottom