Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu yazungumzia matokeo ya ziara ya Rais nchini Oman na matokeo ya filamu ya Royal Tour.
Uwekezaji watajwa kuongezeka ikiwemo wawekezaji wanaotaka kuwekeza Serengeti, Kilimanjaro na Dar es Salaam na muwekezaji huyo ameshawasiliana na kituo cha uwekezaji...
kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa.
anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya wimbo na hapo ilikuwa ni muscat oman.
yes am a man
i am a dj
i love music
all kind of music.
i...
Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus.
Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU, Zuhura Yunus, leo ameita waandishi wa habari kuwapatia taarifa mbalimbali kuhusiana na ziara za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan za nje ya nchi za hivi karibuni na tija zake. Tukio linarushwa MUBASHARA na waandishi kutoka vyombo vikubwa na vya kati...
Nimesikiliza makala ya mafanikio ya Rais Samia tangu aliposhika hatamu kuongoza nchi iliyoandaliwa na kusimuliwa na Zuhura Yunus.
Kiukweli huyu dada ni msimulizi mzuri hatetereki wala kujiumauma kanyooka kama rula na kiswahili chake maridhawa.
Kwa kweli katika teuzi hapa mama aliramba jike haswa
Nimefuatilia taarifa zinazosambaa kwamba Zuhura Yunus ni raia wa Uingereza nachelea kuziamini na kama Zina ukweli basi atakuwa ameupata huo Uingereza Kwa Siri sana. Nafasi aliyopewa lazima tukubali mambo makuu matatu;
Kwanza, ni wazi kwamba si nafasi yakufanywa na Raia wa Kigeni hata kama raia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura aliaga BBC na hakusema anapoelekea. Kumbukumbu zinaonyesha Zuhuru atakuwa mwanamke wa kwanza kushika...
Mzee Ayubu Ryoba b4 TBC alikuwa vocal tukadhani ana strategies lakini alipokwenda TBC akawa mpole,shirika likayumba na kukosa hadhi SAWA na matarajio ya umma.
Zuhura Yunus alipokuwa TBC alionyesha ufanisi mkubwa sana wenye utangazaji. Lakini alikuwa sehemu ya ma activist wanawake akiwa close na...
Zuhura, Utarid na Mwezi hilali utaziona jirani angani upande wa magharibi karibu na upeo mara baada ya machweo. Picha inaoensha mpangilio wao kuanzia leo 21 Mei hadi Jumapili 24 Mei, zikibadilisha nafasi siku hadi siku. Siku ya Ijumaa 22 Mei sayari mbili, Zuhura (Venus) na Utarid (Mercury)...
NAWAZA kwa nini baadhi ya nchi za AFRIKA zinaona tabu kufanya LOCKDOWN au hata PARTIAL LOCKDOWN katika kupambana na janga la COVID-19?
NAWAZA inakuwaje baadhi ya nchi nyingine za kimagharibi na hata za Afrika Mashariki na Kati zimefanikiwa vipi kukabiliana na janga hili hata wasiwe na kifo hata...
Mwaka ni mzunguko wa sayari kulizunguka jua, kwa dunia huwa inatumia siku 365.25 kumaliza mzunguko wake. Mwaka ndio huleta majira, kama kipupwe, kiangazi, vuli na masika
Siku ni sayari kujizungusha katika muhimili wake, ambako kunaleta usiku na mchana
Sayari ya Zuhura ‘Venus’ inatumia muda...
MANDHARI YA KUVUTIA ANGANI - MWEZI BAINA YA SAYARI
(For English version see below)
Kuanzia 29 Oktoba hadi 02 Novemba baada ya Mwezi kutoka kwenye giza ya mwandamo siku ya 28 Oktoba.
Kati ya 29 Oktoba na 02 Novemba, Mwezi utauona unasogea angani ukiangalia upande wa magharibi mara baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.