zuio

Zuiō-ji (瑞應寺) is a Sōtō Zen monastery in Niihama, Ehime Prefecture in Japan.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    Australia yaongeza zuio kwa Wananchi wake kwenda nchini Italia. Yaongeza fedha zaidi katika mfuko wa afya ili kupambana na Covid 19

    Waziri Mkuu wa Australia Bw. Scott Morrison akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alitangaza kuongeza zuio la wananchi wake kusafiri kwenda nchini Italia ikiwa ni miongoni mwa mkakati wa nchi hiyo kuwalinda Wananchi wake dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Sambamba na hilo, meelezwa kuwa nchi...
  2. DocJayGroup

    Kwanini Ebola? Ikulu ya Marekani yasema Tanzania kushindwa kutoa taarifa za Ebola ni moja ya sababu ya zuio la waTz kupata viza ya Marekani

    Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema...
  3. B

    Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

    February 4, 2020 Dodoma, Tanzania Viwanja vya Bungeni: Wabunge watoa maoni zuio la Marekani Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Constantine Kanyasu azungumza kuhusu zuio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, kwenda nchini Marekani na kusema haliwezi kuathiri Sekta...
  4. YEHODAYA

    Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

    Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote "Department has credible information that Makonda was involved in such violations in...
  5. G Sam

    Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Siongei sana
  6. DocJayGroup

    Zuio Kwa WaTZ: Wahi Ubalozi wa USA Kabla haijala Kwako Kama Ulishinda Viza ya Kukupa Makazi ya Kudumu Marekani

    Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
Back
Top Bottom