Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imewakuta na kesi ya kujibu, Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake nane katika mashtaka matatu yanayowakabili.
Washtakiwa katika kesi hiyo ya Jinai namba 12/2022 ni Zumaridi, Amos Kailembo, Isaya John, Isaka Mafuru, Neema Julian, Suzana Simon...