zumaridi

  1. Ferruccio Lamborghini

    Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

    Kwa miaka kadhaa sasa, ‘Mfalme Zumaridi’ ambaye jina lake halisi ni Diana Bundala, ni miongoni mwa wahubiri wa dini wanaovuma ndani na nje ya Jiji la Mwanza. ‘Mfalme Zumaridi’ (39) ambaye pia hujiita mungu wa duniani amesikika akitoa huduma ya maombezi, mahubiri na hata tiba kwa magonjwa kadhaa...
  2. Optimists

    Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
  3. mama D

    Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

    Kwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi. Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa...
  4. D

    Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

    Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika! Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria! Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji! Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa...
  5. Idugunde

    Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. Pia soma
  6. M

    Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

    Jamani nawasalimia wote kwa kila mtu Na imani yake. Kule jijini Mwanza kumeibuka mwanamama mmoja anajiita Mfalme Zumaridi na ana kanisa au sijui niseme nini, maeneo ya Nyegezi. Yeye haamini ktk Biblia au Quran yaani ni shidaa. Na Ana watu wengi kinoma Na wafuasi wake wanamsujudu na mpaka...
Back
Top Bottom