Kwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi.
Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa...