Hivi punde JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,554 Reaction score 8,587 Dec 29, 2017 #1 Watu wameshamaliza vijisenti. Wamevikwangua kwangu hii wiki moja iliyoisha. Watanzania wengi wanalalamika sana. Maisha magumu kila kona! Si maofisini si vibandani si magulioni si bodaboda si biashara yoyote ile. 01.01.2018 Mwaka Mpya wa kihistoria kuwahi kutokea Tanzania.
Watu wameshamaliza vijisenti. Wamevikwangua kwangu hii wiki moja iliyoisha. Watanzania wengi wanalalamika sana. Maisha magumu kila kona! Si maofisini si vibandani si magulioni si bodaboda si biashara yoyote ile. 01.01.2018 Mwaka Mpya wa kihistoria kuwahi kutokea Tanzania.
FAHAD KING JF-Expert Member Joined Sep 14, 2017 Posts 301 Reaction score 375 Dec 29, 2017 #2 Vyuma baba
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Dec 29, 2017 #3 Daaah
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Dec 29, 2017 #4 usiseme hatuna hela sema sina hela... kama unabisha jioni pita viwanja tabata, maisha basement au next door uone shangwe lake... au pita bandarini uone gari mpya zinavyotolewa kila siku
usiseme hatuna hela sema sina hela... kama unabisha jioni pita viwanja tabata, maisha basement au next door uone shangwe lake... au pita bandarini uone gari mpya zinavyotolewa kila siku