Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Watu wameshamaliza vijisenti. Wamevikwangua kwangu hii wiki moja iliyoisha.
Watanzania wengi wanalalamika sana. Maisha magumu kila kona! Si maofisini si vibandani si magulioni si bodaboda si biashara yoyote ile.
01.01.2018 Mwaka Mpya wa kihistoria kuwahi kutokea Tanzania.