Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Booooooomb squad!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Booooooomb squad!
Ortiz ndio huyohuyo King kong
Lakini naamini kabisa Wilder atakaa kwa JoshuaIla pambano ambalo litakuwa tamu zaidi ni la Wilder vs Anthony Joshua
Joshua hawezi kumkalisha wilderLakini naamini kabisa Wilder atakaa kwa Joshua
Joshua hawezi kumkalisha wilder
Dogo unaongea nini wewe? Achana AJ asee kitu nyingine ileJoshua hawezi kumkalisha wilder
Jamaa yuko rudily in fighting,anarusha ngumi unprofessionally,akikutana na AJ atakoma huyu na mamikono yake marefu km jembe la KisukumaKashinda deontay kwa KO round ya 10View attachment 704516
Mimi mwenyewe nimegundua jamaa sio fundi wa kurusha ngumi,kwa sababu kama ukiangalia,hapo ktk jedwali Luis angekaza mpaka round ya 12,luis angeshinda .Jamaa yuko rudily in fighting,anarusha ngumi unprofessionally,akikutana na AJ atakoma huyu na mamikono yake marefu km jembe la Kisukuma
Mimi mwenyewe nimegundua jamaa sio fundi wa kurusha ngumi,kwa sababu kama ukiangalia,hapo ktk jedwali Luis angekaza mpaka round ya 12,luis angeshinda .
Kabisa .... mtu anavizia na kukimbiakimbia kifisi ....kitu alichonacho ni Power ...only that ....hana kingine ...Anthony Joshua atampasua mbaya ...king kong mwanaume wa southpaw jamaa kama aliandaliwa kuja kucheza na joshua kama ndonga zake ndio hivi aisee ana kazi sana na joshua mimi naamini king kong na joshua wangekutana hakika moto ungewaka sio huyo wilder
Huu mwaka wa tano AJ anamkimbia WilderBig mouth Wilder anapigana kama mwanamke ....AJ will destroy this dude ...kaponea chupu round ya 7!