03/03/2018 Dunia itasimama kupisha pambano hili la Deontay Wilder (BronzeBomber) na Luis Ortiz lipite

Hili pambano saa ngapi?
 
Jamaa yuko rudily in fighting,anarusha ngumi unprofessionally,akikutana na AJ atakoma huyu na mamikono yake marefu km jembe la Kisukuma
Mimi mwenyewe nimegundua jamaa sio fundi wa kurusha ngumi,kwa sababu kama ukiangalia,hapo ktk jedwali Luis angekaza mpaka round ya 12,luis angeshinda .
 
Mimi mwenyewe nimegundua jamaa sio fundi wa kurusha ngumi,kwa sababu kama ukiangalia,hapo ktk jedwali Luis angekaza mpaka round ya 12,luis angeshinda .

king kong mwanaume wa southpaw jamaa kama aliandaliwa kuja kucheza na joshua kama ndonga zake ndio hivi aisee ana kazi sana na joshua mimi naamini king kong na joshua wangekutana hakika moto ungewaka sio huyo wilder
 
Big mouth Wilder anapigana kama mwanamke ....AJ will destroy this dude ...kaponea chupu round ya 7!
 
king kong mwanaume wa southpaw jamaa kama aliandaliwa kuja kucheza na joshua kama ndonga zake ndio hivi aisee ana kazi sana na joshua mimi naamini king kong na joshua wangekutana hakika moto ungewaka sio huyo wilder
Kabisa .... mtu anavizia na kukimbiakimbia kifisi ....kitu alichonacho ni Power ...only that ....hana kingine ...Anthony Joshua atampasua mbaya ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…