thread critic
Member
- Jul 17, 2012
- 71
- 14
Nimepitia mitandao ya BOT na wizara ya fedha
so far hakuna up to daye data zozote zenye kuonyesha:
1. Foreign currency assets and liabilities of the Government of Tanzania and the Bank of Tanzania.
2. Trends in Lending za kila mwezi kwa biashara mbali mbali na watu binafsi ( nahisi wanaogopa tusije jua nani alipewa pesa za stimulus package)
3. Hakuna chochote kuhusu financial stability.
je mnajua kwa nini hizi taarifa zinafichwa? hivi kweli tunataka kuwa competitive kwa nini Gavana Ndulu hatupi taarifa ya hali halisi ya uchumi wa nchi hii?
I cant wait kumsikia JK akitetea ARP mwaka huu.