Hahahaaa.... Habari ndio hiyooo... Huyo mzee wa Kiminyio hapa katokosaaaaa..!
af ka kweli vile kwani kaishia wapi
Ndio hivyo kakimbia mwenyewe... Kaona mambo mazito hayawezi..! Ngoja nimfuate huko huko aliko..! Lol
Yaani nimeishiwa hadi maneno, yaani kumtegeshea siku moja tu tayari ameshaconclude; wakati nami nilikuwa nampima kama ni mtumiaji wa mtandao huo! Khah