TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Ulimuswano Mwanaweswe!.
Moja kwa moja kwa mada.
Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania.
Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa, kijamii na kimaendeleo. Ila kuna fungu la walio wachache wanakaza.
Kufuatia hilo 29.11 ilikuwa siku yao ila trh 09.12 ambayo ni kesho yamepangwa maandamano yasiyo na kikomo ili kushinikiza mabadiriko.
29.11 mitandao ilizimwa na je, kesho itazimwa?.
Sina hakika kama watazima ila sasa angalizo kwako. Wanaweza wasizime au kushusha uwezo wa mitandao, ila na wakatumia njia hiyo kuweza kutrack location zenu na mnapopeana taarifa za maeneo mlipo.
Kesho wanaweza wasizime mitandao ili kuwaweka mtu kati, wanaweza wasizime mitandao ili kuangalia njia mnayotumia kuita wenzenu, kukusanyika, kufanya lolote.
Raia mpo wengi ila wao kwa uchache wanaweza kutumia njia kuwathubiti na mkacheua mapema sana.
Nipo nanyi ingawa nipo safarini to ilombanziro western Tanganyika.
Nawasiliana.