09 December ,hawana Ujanja. Ni msumari wa mwisho kwenye Jeneza

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
10,825
Reaction score
38,702
Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki na genocide iliyotokea?

Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09 Desemba waue watu tena ili wazidi kujiharibia? ili ICC na jamii za kimataifa wajiridhishe pasipo kutumia nguvu kwamba muuaji ni nani na wamtie nguvuni?

Au wakae kimya maandamano yashamiri na kuachia ngazi?

Ukisimama mshale, ukikaa mshale.
 
Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki genocide iliyotokea?

Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09 Desemba waue watu tena ili wazidi kujiharibia? ili ICC na jamii za kimataifa wajiridhishe pasipo kutumia nguvu kwamba muuaji ni nani na wamtie nguvuni?

Au wakae kimya maandamano yashamiri na kuachia ngazi?

Ukisimama mshale, ukikaa mshale.
Na iwe hivyo inshallah
 
Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki na genocide iliyotokea?

Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09 Desemba waue watu tena ili wazidi kujiharibia? ili ICC na jamii za kimataifa wajiridhishe pasipo kutumia nguvu kwamba muuaji ni nani na wamtie nguvuni?

Au wakae kimya maandamano yashamiri na kuachia ngazi?

Ukisimama mshale, ukikaa mshale.
🤣🤣🤣 nilikumisi ona sasa naenda kukupoteza soon🤣
 
Sasaivi hata matamko ya kutishia watu hawatoi wao, wanawaachia kazi Masheikh Ubwabwa na maaskof wa mchongo kama huyu,

Screenshot_20251119-171235_1.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Isiwe tunajazana humu mitandaoni mwisho wa siku tuanze kutegeana nani wa kutoka.
 
Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki na genocide iliyotokea?

Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09 Desemba waue watu tena ili wazidi kujiharibia? ili ICC na jamii za kimataifa wajiridhishe pasipo kutumia nguvu kwamba muuaji ni nani na wamtie nguvuni?

Au wakae kimya maandamano yashamiri na kuachia ngazi?

Ukisimama mshale, ukikaa mshale.
Vijana wapo jela wamejazana vituoni Polisiccm wamewageuza mradi wa Rushwa licha ya Mama mkoloni kaburu toka Zanzibar kusema waachiwe mara moja, huo upumbavu wa Polisiccm kupuuza Amri za mama mkoloni kaburu toka Zanzibar unazidisha chuki toka kwa wananchi
 
Mini nitafukia kichwa nyie mtafukia miguu na kiwiliwili, tutawazika kwa amani bila longolongo.
 
Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki na genocide iliyotokea?

Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09 Desemba waue watu tena ili wazidi kujiharibia? ili ICC na jamii za kimataifa wajiridhishe pasipo kutumia nguvu kwamba muuaji ni nani na wamtie nguvuni?

Au wakae kimya maandamano yashamiri na kuachia ngazi?

Ukisimama mshale, ukikaa mshale.
Nguvu yote kwa sasa ni kuhakikisha hakuna watu tena watakao ingia barabarani(kwa namna yoyote Ile)
Kama juhudi hizo zikishindika na watu wakaingia road kwa wingi ule kama wa 29 oct basi serikali itakuwa na wakati mgumu sanaaaaaa.

Bado nafasi ipo wao TU hawataki kuchukua hatua za kupunguza hasira za wananchi
 
Back
Top Bottom