100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Na iwe hivyo inshallahHadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki genocide iliyotokea?
Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09 Desemba waue watu tena ili wazidi kujiharibia? ili ICC na jamii za kimataifa wajiridhishe pasipo kutumia nguvu kwamba muuaji ni nani na wamtie nguvuni?
Au wakae kimya maandamano yashamiri na kuachia ngazi?
Ukisimama mshale, ukikaa mshale.
Wameua sana ndugu zetu, kuwaacha huru ni kuwasaliti mashujaa waliomwaga damu zao kuhakikisha wote waliobaki wanakuwa huru.Na iwe hivyo inshallah
🤣🤣🤣 nilikumisi ona sasa naenda kukupoteza soon🤣Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki na genocide iliyotokea?
Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09 Desemba waue watu tena ili wazidi kujiharibia? ili ICC na jamii za kimataifa wajiridhishe pasipo kutumia nguvu kwamba muuaji ni nani na wamtie nguvuni?
Au wakae kimya maandamano yashamiri na kuachia ngazi?
Ukisimama mshale, ukikaa mshale.
Kama haw iyo siku nyumba zao zitapambwa na moto wa kuteketezaSasaivi hata matamko ya kutishia watu hawatoi wao, wanawaachia kazi Masheikh Ubwabwa na maaskof wa mchongo kama huyu,
View attachment 3505012
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Vijana wapo jela wamejazana vituoni Polisiccm wamewageuza mradi wa Rushwa licha ya Mama mkoloni kaburu toka Zanzibar kusema waachiwe mara moja, huo upumbavu wa Polisiccm kupuuza Amri za mama mkoloni kaburu toka Zanzibar unazidisha chuki toka kwa wananchiHadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki na genocide iliyotokea?
Tumeona bunge la Ulaya tayari wameshakiwasha, hakuna tena misaada, je 09 Desemba waue watu tena ili wazidi kujiharibia? ili ICC na jamii za kimataifa wajiridhishe pasipo kutumia nguvu kwamba muuaji ni nani na wamtie nguvuni?
Au wakae kimya maandamano yashamiri na kuachia ngazi?
Ukisimama mshale, ukikaa mshale.
Ikongo ni Takataka ni shetani ni kajitu ka pumbavu sana, dawa yao itawafikia mda si mrefuSasaivi hata matamko ya kutishia watu hawatoi wao, wanawaachia kazi Masheikh Ubwabwa na maaskof wa mchongo kama huyu,
View attachment 3505012
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kimara upande wa Gaza tuachie hii kaziIsiwe tunajazana humu mitandaoni mwisho wa siku tuanze kutegeana nani wa kutoka.
Nguvu yote kwa sasa ni kuhakikisha hakuna watu tena watakao ingia barabarani(kwa namna yoyote Ile)Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba hawahusiki na genocide iliyotokea?