1,000L Water Tanks For Sale (Ma-Tenk ya Maji Lita 1,000 yanauzwa)

1,000L Water Tanks For Sale (Ma-Tenk ya Maji Lita 1,000 yanauzwa)

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
191
Reaction score
129
Habari Wakuu,

Nina Matank ya Maji 15 nauza, ni haya meupe yanayokujaga na bidhaa za viwandani kisha baada ya kushusha mzigo yanabadilishwa kutumika kama ma-tenk ya kuhifadhia au kusafirishia maji au vimiminika vingine.

Yapo 15, kila Tenk moja nauza 150,000/

Tafadhali zingatia: Bado hayajaoshwa, hivyo utaosha mwenyewe!!!

Kwa Maelezo nipigie +255712075845
18349dffe342493ba297cb4a3bd11275.jpg
1000L Tank.jpg
 
Safi.. ntakutafuta maana nina kazi nayo huko mbeleni..
 
Hivi yanauzwa pamoja na hivyo vi-cage vyake?!
 
Back
Top Bottom