Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 191
- 129
Baada ya kila miez miwili tunakuwa nayo nduguNikihitaji kwa baadae nitapata.. au ndio hii batch ikiisha sitapata tena?
Ndio MkuuHivi yanauzwa pamoja na hivyo vi-cage vyake?!
Dar es Salaam MkuuUpo mkoa gani?
Yamebaki 10 mkuu, Yes pamoja na hivyo vyuma vyakeHAYO MADUMU MEUPE YANAUZWA PAMOJA NA HIZO VYUMA NA BEI GANI? UNAVYO AU VIMEISHA
Uko wapi? Matenk yapo hapa kurasiniNiuzie mawili boss
Mbona hapo kama pamechoka sana kwenye out let hapo. Pamechomwa chomwa na moto?. Pia nasikia haya ni mabovu yanawahi kupasuka tofauti na Simtank?Uzuri wa matank haya yanakuja na outlet zake kabisaa..View attachment 2997414
Unalo moja lipi mkuu? Kama hili leupe analouza huyu mwamba?. Kwa nini unataka kubadirisha?Kwa anaetaka,ninalo moja tubadilishane na lile jeusi