Amini usiamini hii hela kuna watu wameibetia,wakiamini kuwa ndani ya mwaka mmoja wangeweza kurudisha hiyo hela na kupata faida
Chezea mhindi,hiyo hela imeisha ingia mfukoni kwake,sasa wanasiasa na serikali wanakabana mashati
Enyi watu wa serikali acheni kutumia hela ya serikali kubeti