Elections 2010 1 CHADEMA MP =30 CCM MPs

Elections 2010 1 CHADEMA MP =30 CCM MPs

:israel::israel::israel::israel:MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 30 WA CCM. KWA MAANA HIYO WABUNGE WATANO WA CHADEMA WALIKUWA SAWA NA WABUNGE 150 WA CCM. :A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::juggle::juggle::juggle::director::director::director:

Akili yako ni kama hao wadudu uliowajaza kwenye hiyo post yako! Teh teh teh!!!! :bowl:
 
" huwezi kwenda ikulu kwa mke wa kuazima"

Hebu acha UPUUZI WEWE, sisi hatuongelei personal interest za mtu hapa, tunahitaji kiongozi ambaye anaweza kuleta aendeleo katika nchi yetu, hatuhitaji TOURIST PRESIDENT, Rais anaye safiri kama anafanya kazi TRAVEL AGENCY bana.
 
:doh:
HA HA HA HA
ATI MKE WA KUAZIMA..........
I WOULD RATHER HAVE ONE FAITHFUL WIFE (if at all there is still any under the sun)THAN A BUNCH OF SPOOKY CONCUBINES(who are available in plenty)
 
Hebu acha UPUUZI WEWE, sisi hatuongelei personal interest za mtu hapa, tunahitaji kiongozi ambaye anaweza kuleta aendeleo katika nchi yetu, hatuhitaji TOURIST PRESIDENT, Rais anaye safiri kama anafanya kazi TRAVEL AGENCY bana.

Tourist President ndiyo president wako... Upende usipende! Another 5 years ya kuuguza maradhi ya moyo! Teh teh teh!!!!!

Mtafutiani huyo Paroko mke ili akipata kura za kutosha aingie Ikulu na mke wake badala ya first lady wa kuazima! Teh teh teh!!!!!
 
tundu lisu,mbowe,zitto na wengineo,ni dalili tosha kuwa sasa ccm imeelekezwa kibra,tungoje mijadala ianze pale bungeni
 
Hapo umenena. Wabunge wa ccm ni walala usingizi bungeni.
 
Back
Top Bottom