Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 2,404 Reaction score 5,682 Oct 10, 2026 #1 Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURAπππ Thread '(2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA' Oct 10, 2026 Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. Thread '(3) JF VOTES : MASTER WA COMMENT KUNTU NA FIKIRISHI WA MWAKA' Oct 10, 2026 .. Thread '(4) JF VOTES: BFF BORA WA MWAKA (MTU WA WATU HANA MAKUU)' Oct 10, 2026 .. Thread '(5) JF VOTES : MTAALAM WA CHIT CHATS WA MWAKA' Oct 10, 2026 ..
Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURAπππ Thread '(2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA' Oct 10, 2026 Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. Thread '(3) JF VOTES : MASTER WA COMMENT KUNTU NA FIKIRISHI WA MWAKA' Oct 10, 2026 .. Thread '(4) JF VOTES: BFF BORA WA MWAKA (MTU WA WATU HANA MAKUU)' Oct 10, 2026 .. Thread '(5) JF VOTES : MTAALAM WA CHIT CHATS WA MWAKA' Oct 10, 2026 ..
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,287 Reaction score 8,707 Oct 10, 2026 #2 Kuna zawadi gani mkuu...!!?
The king 07 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 1,224 Reaction score 2,930 Oct 10, 2026 #3 Kuna baadhi ya watu majukwaa kama intelligence huwa hawafungui kabisa. Kumshindanisha mtu anaenandika sana intelligence forum na MMU sio fair challenge
Kuna baadhi ya watu majukwaa kama intelligence huwa hawafungui kabisa. Kumshindanisha mtu anaenandika sana intelligence forum na MMU sio fair challenge
camp konzi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 581 Reaction score 1,122 Oct 10, 2026 #4 kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ngoja kwanza labda badae kidogo nitajua kura yangu inakwenda kwa nani
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,275 Reaction score 80,330 Oct 10, 2026 #5 Nafikiri ingewekwa category kulingana na majukwaa..
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 12,104 Reaction score 16,477 Oct 10, 2026 #6 Yani mzee M.S anapaswa kushinda jukwaa lake
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 12, 2026 #7 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw