Unajiita Techman mwenyewe!!!Chukua hii,kama battery imeisha charge kabisa na unataka kuiwasha simu walu ucheki sms 1,toa battery,lamba kwa ulimi wako sehemu ambapo charge huwa inaingilia (yaani kwenye positive na negative) kwa muda wa sekunde 60 ukiirudishia kwenye simu,itawaka kwa walau sekunde kadhaa!Onyo,usimeze hayo mate(tema) baada ya kuilamba battery.
Hii ungepeleka kwenye jukwaa la jokes au hata chit-chat, hapa sio mahala pake hakuna utani-utani wa kitoto humu. MODs hebu toeni hii pumba humu.
JOKE zipi ulimaanisha kaka, nahisi jamaa yuko sawa!Hii ungepeleka kwenye jukwaa la jokes au hata chit-chat, hapa sio mahala pake hakuna utani-utani wa kitoto humu. MODs hebu toeni hii pumba humu.
Kuanzia jibu la kwanza tu mi nilianza kucheka, halafu jina lako sasa... ha ha haJOKE zipi ulimaanisha kaka, nahisi jamaa yuko sawa!
Ha ha haJOKE zipi ulimaanisha kaka, nahisi jamaa yuko sawa!
JOKE zipi ulimaanisha kaka, nahisi jamaa yuko sawa!