10,000+

10,000+

hata hata mkuu!
umuhimu wa mchango wa post ni a very relative term............!na inategemea wewe ni wa mlengo gani.

kwa mfano:hebnu mfikirie mtu ambae si mnazi wa siasa za ''fanya fanya'' za hapa bongo,unatarajia yeye kuona thread za mwanakijiji ni za muhimu kwake?

au muangalie mdau ''mama'' wa I.S.C,unadhani ukimwambia MMU iondolewe atakuelewa?

au muangalie mtanzania mwenye ALEJI na politiks za kitanzania kama mimi........

hehehehe!
nigongee senksi mpwa!

niko home sasa rozi ananiandalia chai huko ili niwahi kijiweni manzese,si unaona napost via mobile?
mmh jaman mpz ...ahh unanipa raha asubui asubui...
mjibu uyo njoo uku unyonye jaman uwai kazin..
 
mmh jaman mpz ...ahh unanipa raha asubui asubui...
mjibu uyo njoo uku unyonye jaman uwai kazin..
ha ha ha!...........
waaambiiiieeee roooz waaambiiiieeeeeeeeeeeeeeeeee
waaambiiiieeee roooz waaambiiiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeee
UNAWEZA VYOOOTEEE MAMAAAA WAAAMBIIIEEEEEEEE
UNAWAPOTEZAAA MAMAAAAA WAAMBIIIIEEEEEEEEEEE
 
nikiwaambia yote wataniloga baba
ngoja tu wapate vdondoo vya juu juu..
 
Back
Top Bottom